Msaada:VPN configuration on Cisco Router 1900 series

Aqua

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
1,658
1,229
Habri wanatech.

Naomba msaada kwa mtu ambaye anadeal sana na cisco devices in real life siyo kwenye simulation,niko nafanya configuraion ya vpn tatizo kuna some commands zinakuwa labeled incorrect au zinamakosa au hazitambuliki.

1:R1(config)#crypto isakmp policy 11
2:R1(config)#crypto ipsec transform-set trans esp-3des esp-sha-hmac.

Hayo maneno yenye red yanaonyeshwa hayako sahihi

Nimeshindwa kutengeneza policy,naomba msaada kwa anayejua.Thank you in advance
 
Back
Top Bottom