Tatizo la laptop ku-stuck naomba msaada

kimugina

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
1,138
2,000
Natumia mashine aina ya Toshiba tatizo lake nikiitumia bila kuchomeka kwene Chaji inafanya kazi bila shida yoyote, Ishu napo chomeka chaji tu ikiwa imewaka ina stuck,nikizma na kuiwasha kama bado nimechomeka chaji mchezo ni huo huo,

Msaada wenu Wakuu.
 

kimugina

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
1,138
2,000
ngoja waje nilihisi conflict kweny hardware lkn mh sinahakika
Inachanganya Mkuu, wiki mbili zilizo pita fundi mmoja aliniambia tatizo ni HD,nimenunua hard disk nyingine kanibadirishia tatizo liko pale pale
 

The hammer

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,289
2,000
Natumia mashine aina ya Toshiba tatizo lake nikiitumia bila kuchomeka kwene Chaji inafanya kazi bila shida yoyote, Ishu napo chomeka chaji tu ikiwa imewaka ina stuck,nikizma na kuiwasha kama bado nimechomeka chaji mchezo ni huo huo, Msaada wenu Wakuu.
Hapo inawezekana kuna moja kati ya matatizo mawili.

1:Kushindwa kazi kwa power adapter

2:Motherboard inaanza kuharibika,so,ichunguze power adapter yako hata kwa kutumia power adopter nyingine ukiona inapiga mzigo hiyo nyingine basi ujue hiyo ya kwako ina ina kasoro katika output ya voltage yake.kama tatizo litaendelea possibly ni motherboard hasa kwenye smps
 

kimugina

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
1,138
2,000
Hapo inawezekana kuna moja kati ya matatizo mawili.1:Kushindwa kazi kwa power adapter2:Motherboard inaanza kuharibika,so,ichunguze power adapter yako hata kwa kutumia power adopter nyingine ukiona inapiga mzigo hiyo nyingine basi ujue hiyo ya kwako ina ina kasoro katika output ya voltage yake.kama tatizo litaendelea possibly ni motherboard hasa kwenye smps
Asante sana mkuu,majibu nitarejesha hapa
 

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,467
2,000
Nitashauri ufanye update ya drivers zako kwenye mashine, drivers zisipokua optimized vizuri mara nyingi...

Ila kabla ya hilo em jaribu kuangalia power settings kwenye mashine yako, ukiwa umeset mode inaitwa power saver tatizo kama hili linaweza kutokea, ukichomeka waya basi inaleta perfomance mbaya ya processor badala ya kutumia maximum perfomance inashusha speed, kuangalia power settings fungua Control Panel,

tafuta Power options -> Edit plan settings -> Change advanced power settings -> Processor management, tafuta sehemu ya maximum power, set iwe 100%, afu minimum ipandishe kidogo angalau isiwe chini ya 80%...

Solution nyingine unaweza kwenda control panel ukaset tu power options za when plugged in ziwe sawa na when unplugged...
Em jaribu ulete feedback tuone
 

newMbishi

Senior Member
Jan 8, 2011
119
195
Natumia mashine aina ya Toshiba tatizo lake nikiitumia bila kuchomeka kwene Chaji inafanya kazi bila shida yoyote,
Ishu napo chomeka chaji tu ikiwa imewaka ina stuck,nikizma na kuiwasha kama bado nimechomeka chaji mchezo ni huo huo,
Msaada wenu Wakuu.
Mkuu iyo power adopter unayotumia nincompatible?
 

Heri lee

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
996
1,500
Natumia mashine aina ya Toshiba tatizo lake nikiitumia bila kuchomeka kwene Chaji inafanya kazi bila shida yoyote,
Ishu napo chomeka chaji tu ikiwa imewaka ina stuck,nikizma na kuiwasha kama bado nimechomeka chaji mchezo ni huo huo,
Msaada wenu Wakuu.
ndugu tatizo la hiyo computer yako nalipata sana bila shaka hiyo computer yako ni toshiba satellite l300 au a300, tatizo la hiyo machine ni capacitor flani katika motherboard zimekufa zinahitaji ku-replace kama upo dar nicheki kwa 0762-647575 hilo tatizo nimeshalirekebisha several times so unaweza kuniona nikakuwekea sawa kabisa
 

kimugina

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
1,138
2,000
Asanteni sana wakuu kwa msaada wa mawazo yenu na njia mlizonipa,
Panapo uzima In Shaa Allah nitaleta mrejesho baada ya kufanyia kazi,

MBARIKIWE SANA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom