Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,234
- 1,503
Nina samsung Notebook, haikamati internet ninapotaka kufungua browser. Lakini msg za Whatsapp zinaingia kama kawaida na nikituma pia zinaenda. Ila nikitumiwa clip kwenye whatsapp siwezi kuifungua. Niki-connect na pc, halafu niki-tether ina-connect kama kawaida. Nimepiga Voda, nika-edit access point manually, lakini bado. Nikibadili na kuweka line ya Airtel ndiyo kabisaaaaaaa hamna kitu. Customer care ya Airtel ndiyo kimeo kabisaaa. Wanasema wananitumia msg ya configuration lakini hawatumi. Msg wanayotuma siyo ya configuration. Ni msg ya kuniomba ni-install configuration watakayotuma. Nasubiri watume hiyo msg ya configuration lakini week zinakatika. Anayejua hizo cinfiguration, Msaaada please.