Ndege ya kwanza inayotumia umeme wa jua imejaribiwa leo asubuhi Katika jiji la ABU DHABI, mida ya saa 12 kwa majira ya afrika mashiriki.
Jaribio la kwanza la ndege inayotumia umeme jua...
Kuna mtu anataka kuniuzia samsung note 3 nikipiga *#06*# kuangalia kama ni original naona iko fresh pia menu iko fresh sema nikiiwasha au kuzima haiandiki samsung .
Je! simu hii ni orijino Kwel ?
Habari wadau.
Ni vizuri tungepeana maujanja wadau wanaotumia BlackBerry 10 phones hasa kwenye hii update yao mpya walioitoa feb 2015.
Binafsi najiona kama nimenunua simu mpya kwa jinsi my...
Nataka kubuni kamera ya kufatilia nyumba yangu lakini sijafahamu nitawezaje kupata vifaa husika kwani ninaouwezo wa kutengeneza kifaa cha kunasa sauti (transmitter/receiver) au kwakifupi...
Habari,
Wakuu katika jukwaa hili nikikuwa naomba kujua kama kwenye mwenye kufahamu bi kini windows 10 itakuwa lauched kwenye simu na watu wakaanza ku upgrade!!
Habari wakuu wa jukwaa,leo tena narejea kwenu. Kama mnakumbuka,mara ya mwisho niliwaletea kinetic typography ya wimbo maarufu wa Diamond Platnumz.mlitoa maoni yenu na niliyapokea kwa mikono...
Je wewe unatumia simu yoyote ya windows phone na umeimiss opera?
usijali muda si mrefu itaingia store. Opera wametangaza inakuja hii browser na pia kwa wale wanaotaka kuitest wameeka link ya...
Wakuu habari zenu!
Naomba msaada! Ninapo import wordpress kwenye live server napata msg hii 'The active theme is broken. Reverting to the default theme'
Je hiyo meseji inasababishwa na nini...
Share screenshots of contents and apps on your smartphone. Wengine labda wangependa kuona apps gani unatumia and how they can benifit them etc. I'm using a Samsung Note 3 running a custom...
Tecno p5 nikitaka kuinstall whatsapp plus ..inasema there is the same package installed.. inatokea hata pale ninapokua teari nimesha itoa ile whatsapp mama naomben msaada apo nifanyaje kama kuroot...
Simu ni xperia Z3c imekreki mfuniko wa nyuma kwenye betri, msaada wapi naweza kupata mbadala.
Nimeangalia kwenye mtandao wa ebay nimeona inauzwa mingi tu, kama wewe ni mtaalamu wa kununua...
Hii ni kwa wale ambao hawajafanya jail breaking kwenye iphone na iPad. unaweza kudownload paid apps zote bure kwa kutumia vshare application, na kwenye AppStore ulikuwa huwezi kudownload apps au...
Wakuu habari za mchana?
Wakuu nawaomba msaada wenu kuhusu king'amuzi cha DStv kuzimikazimika. Huwa inasababishwa na nini na je nifanyeje ili kisizimike?
Kuzimika kwake ni kama vile umeme umekatika...
Ndugu waungwana nina kisimu changu cha mchina (HUAWEI Y300-0100}kinanitesa nami uwezo wangu wa kumiliki cm nadhani umekomea hapo kwa sasa kwani ningekuwa na uwezo zaidi ningeshnunua nyingine...
Jamani inakuwaje iphone yenye 1gb ram na processor mbili(dual core) kujitutumua na hata kuwa mshindi dhidi ya android devices kama htc one m8 yenye processor 4 na 2gb of ram,je apple teknolojia...