Kaka in tech it is all about number and everything is number sipo blinded as u said,kitendo cha processor kuwa na multi core ni kurahisisha kazi na kupelekea device iwe faster zaidi,
Multicore bila single core perfomance kubwa ni useless kaka, mfano browser inatumia core 1 tu inamaana unapoingia kwenye internet na octacore zako then core 7 hazitumiki na core 1 tu ndio itatumika. mwenye dualcore zenye nguvu anytime anamshinda mwenye octacore kwenye situation hii.
sehemu ambayo multicore zinakuwa na advantage ni pale program zinapokuwa optimized kutumia thread nyingi.sijawahi sikia kwenye simu apps hizi na kwenye pc zipo ila chache kama vile software za kuedit video zinapofanya rendering core nyingi zinasaidia.
hapo umezungumzia mbona mediatek ipo slow na ina core nyingi,mfano mt6595 ambayo ni mediatek hii ni octa ina cortex A17 nne na cortex A7 nne,hii procesor imetumika katika simu kama mogu m7,lenovo vib x2, na meizu mx4.

Ukija na meizu katika spidi na simu kama lg g3 ambayo inatumia snapdragon 801 ambayo ina 2.36 ghz na ni quad,basi utaona jinsi lg inavyoachwa mbali sana na mediatek,hivyo no of cores na no of circles per sec yaani hertz zitaendelea tu kuwa considerably so quad core is considerably faster than dual core and octa core faster than quad.

Hivi huoni these increases are relatively big?
nazitoa processor za 64bit
-krait
-cortex a15
-cortex a17
-cortex a7
mediatek katupa gimmick ya mwaka most useless processor kwa kuiclock cortex a7 kwenda 2ghz, cortex a7 imetengenezwa itumie energy ndogo na kutoa perfomance ndogo, angalia snapdragon 400 ina 1.2ghz tu. unajua effect ya kuiclock processor ndogo?
1.unamaliza battery na kutoa maana ya kutumia processor ya kutokula chaji
2. hutapata perfomance kubwa sababu architecture iliotumika haina nguvu.
ingekuwa ni kwenye pc ni sawa na kuiclock celeron au atom iende 5ghz utegemee iipite i5/i7 kitu ambacho ni imposibble.
kuprove point zangu hapo juu angalia rating ya battery ya lenovo vibe x2 ina score mbovu kupindukia only 50hrs kucompare na 101hrs ya xperia z3c yenye sd 801.
na kuclaim sd801 inapitwa na cortex a7 na a17 huu ni utani huwezi fananisha krait au cortex a15 na cortex a7 au a17 hazipo same league


Suala la optimazition sikubaliani nalo kwa sababu lipo easly to be solved so company kama samsung haiwezi shindwa,umesema apple wana os na simu zao,ios developer wake ni apple inc na android developer wake ni google,mbona google au tuseme android ana simu zake kama nexus 5,nexus 6 na nexus 7 na bado inshu haijawa solved,
ngoja nikupe mfano wa nokia na microsoft, kipindi microsoft hajainunua nokia d&s walikua wanalalamika kuwa hawaonyeshwi hardware na nokia sababu ni classified information. sasa hivi baada ya kuinunua microsoft ameifanya sd 400 kuwa faster kuliko sd s4. hii ni sababu microsoft ana control na hardware na software sasa hivi ndio maana kaijenga os yake around sd400.
android? never ever samsung kuja kumuonesha google blueprint za simu zake sababu what if google akampa patner wake anaestrugle siri hizo? even hizo nexus unazozisema google anashauri tu lakini si simu zake. mauzo na siri za device wanabaki nazo oem.
hebu angalia hii fragmentation ya android
processor-exynos, broadcom, qualcomm, mediatek, all winner, intel, tegra
gpu- adreno, powervr, mali, nvidia
screen, kuanzia 240x320 hadi 2k kila angle zipo
display type- tft, ips, oled, amoled
bluetooth- 2,3,4
camera- wengine toshiba wengine sony na makampuni mengine
ukifanya probability hapo unaweza toa mamilioni ya simu tofauti, ingekuwa wewe ni google unge optimize vipi?
apple still wana release smartphone zenye spidi?

No of cores na ram zitaendelea kuongeza spidi ya device kama zitaongezwa.

So that is what it is.

Kitu ni kwamba processing power ya chip ina depend na factor nyingi kama IPC,apple walianza na A5 mwaka 2011,na ilifanya vizuri zaidi.

Wakati huo compNy kama qualcomm na mediatek wanafocus on increasing the no of cores wenzao apple wanakaa na kubuni processor zilizo bora zaidi and apple ame make right choice in modifying processor wakati katika ulimwengu wa android wanaongeza tu cores,wataongeza mpaka lini?
Na jua A8 ndio processor yenye kasi zaidi chini ya jua.
exynos 7 ndio processor ya simu yenye kasi zaidi kushinda hata a8 ya apple kama hutajali niletee benchmark zako kuwa a8 imeipita exynos 7
wakati wenyewe wanahesabiana no of cores mwenzao anabuni vitu complex na kuendelea na dual core,kwanza A8 ina better perfomance kwa kutumia less energy which keep better battery life.
kama unataka kuwatetea apple usitaje batterylife kabisaa maana unaingia chaka



Suala kama hili lilitokea 2006 wakati wakati intel na AMD wapo kwny competition na AMD ,AMD alikuwa anakimbiza sana na kutoa processor bora kabisa mwaka 2002 na 2003, sasa intel akaamua kuendelea kuongeza spidi ya processor zake japo zilikuwa zina fika 3ghz waliendelea kuwa nyuma ya AMD, bcuz ipc ilikuwa low, intel kaja kugutuka 2006 akaja na E6300 na ilikuwa na 1.9Ghz huku previously release kama intel pentium ikiwa na 3ghz,lakini uone sasA zote ni kampuni moja lakini e6300 alimchomoa pentium kwa sababu wLijisahihisha,so inshu ya optimazition haihusiki kabisa,na hicho ndio kama kinachotokea hivi sasa katika ulimwengu wa mobile processors.


Njia ya pekee itakayo badilisha ni kama kampuni zinazotengeneza androids chips kama wataanza kubore sha core zao na si kufanya optimazition au reduction of bloatware au pre-installed bloTware,so waboreshe cpu architecture la sivyo apple watatake control mpaka mwisho wa dunia.jamaa wamejipanga Na Scott Wasson mtaalamu wa teknolojia katika vifaa kama hivi katika web ya Guru anasema si kitu chepesi kutengeneza processor kama hizi.

Wajipange ,,,apple big up.

Apple kwenye 32bit hajawahi kuipita krait kwenye power ya core 1 kila siku alikuwa anaachwa mbali tu, amekuja kumpita krait alipotoa processor ya 64bit. qualcom hajafanya design ya 64bit subiria kyro then utaona nani mkali wa cip za simu. ila tukisubiria kyro apple ana kazi ya kuipita exynos 7 kwanza