Nawezaje kuondoa matangazo kwenye nyimbo?

Nawezaje kuondoa matangazo kwenye nyimbo?

Nambarapi

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
203
Reaction score
172
Habari zenu wakuu, Naomba msaada jinsi ya kuondoa matangazo yanaoanza kwenye nyimbo.
 
Matangazo unaweza kuyaondoa kwa kutumia program mbalimbali kama any audio conveter, any video conveter na nyingine.
 
Hata me hii kitu inanikera sana.

Kama una sim njia raisi na simple ni kutumia RINGTONE CUTTER hata mm natumiaga hiyo kwa ajili ya kuondoa hayo matangazo mfano nikidownload nyimbo za hapa kwtu mara nyingi huwa zina matangao kwa cku hiz apps hii unaweza ipata kuptia gogle play NB kwa upande wa sim lkn
 
Tumia programs kama fl studio, cubase, logic pro, garage band n.k kwa kukata hizo ads then unabounce unachotaka. Kwa sim cjui exact program.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom