Wakuu habari zenu!
Naomba msaada! Ninapo import wordpress kwenye live server napata msg hii 'The active theme is broken. Reverting to the default theme'
Je hiyo meseji inasababishwa na nini? Nifanyaje kufanikisha site yangu iwe uploaded successiful?
Natumia plugin ya site migration ku-export na ku-import!
Natanguliza shukrani!
Asante wakuu!