7ve
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,569
- 4,468
Hii ni kwa wale ambao hawajafanya jail breaking kwenye iphone na iPad. unaweza kudownload paid apps zote bure kwa kutumia vshare application, na kwenye AppStore ulikuwa huwezi kudownload apps au games zenye ukumbwa wa zaidi ya mb 100 bila wifi au 4g network, lakini ukiwa na vshare unaweza kudownload hata games zenye 1gb kwa kutumia 3G network Kama need for speed most wanted.
Ili kuingiza vshare kwenye unjailbreak device unatakiwa kuingia kwenye Safari browser na kuandika hii website vShare baada ya kufunguka utaclick upande wa juu kulia kwenye huo mshale.
Then itakuja homepage ya kudownload
So after download wakati Ina installing nenda kwenye setting change date to 1Sept2014 baada ya kuingia change date to automatically.baada ya kuingiza vshare open na download apps na games zote bure kabisa.