idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,308 Reaction score 38,526 Mar 10, 2015 #1 Simu ni xperia Z3c imekreki mfuniko wa nyuma kwenye betri, msaada wapi naweza kupata mbadala. Nimeangalia kwenye mtandao wa ebay nimeona inauzwa mingi tu, kama wewe ni mtaalamu wa kununua vitu online tunaweza kuongea pia.!
Simu ni xperia Z3c imekreki mfuniko wa nyuma kwenye betri, msaada wapi naweza kupata mbadala. Nimeangalia kwenye mtandao wa ebay nimeona inauzwa mingi tu, kama wewe ni mtaalamu wa kununua vitu online tunaweza kuongea pia.!