Msaada azam tv

Msaada azam tv

uludodi

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2014
Posts
576
Reaction score
915
Naomba msaada kwa anaejua kama ipo chanel kwenye Azam tv inayoonyesha UEFA leo nataka nicheki mechi ya chersea au bayan
 
Naomba msaada kwa anaejua kama ipo chanel kwenye Azam tv inayoonyesha UEFA leo nataka nicheki mechi ya chersea au bayan

Unapata shida ya nn nunu receiver inayoweza kuingiza bisskey iwe mpeg4 au hd na dish la fut6 kuna channel mbili zinaonyeshaga uefa bila chenga ndio naangaliaga
 
dish nimefunga leo sijajua ni chanel gani?
 
Unapata shida ya nn nunu receiver inayoweza kuingiza bisskey iwe mpeg4 au hd na dish la fut6 kuna channel mbili zinaonyeshaga uefa bila chenga ndio naangaliaga

Sasa hizo recever zinauzwa sh ngapi? Kwasbb niko mikoani recever hazipo madukani
 
As ante Kwa taarifa. Ulishawai kuangalia uefa kwenye Hii channel

Nimeangalia sana kuanzia mechi za playoff kati ya arsenal na besiktas...! Ila wanaonyesha big mechi kwa siku ya jumatano. Hapa nipo naisubiri mechi ya Chelsea kwa hamu sana. Enjoy mkuu
 
Nimeangalia sana kuanzia mechi za playoff kati ya arsenal na besiktas...! Ila wanaonyesha big mechi kwa siku ya jumatano. Hapa nipo naisubiri mechi ya Chelsea kwa hamu sana. Enjoy mkuu

Nashukuru Kwa kushea name jukwaa. Nimekuwa na azam TV tangia Siku ya kwanza but sijui kama kuna channel inaonyesha uefa. Acha nisubiri. Get blessed
 
Zlatan ibracadabra kapewa straight red card dakika ya 31 kwa ilichodhaniwa kamfanyia madhambi Oscar, ukweli ni kwamba refa ana macho kumchuzi
 
Back
Top Bottom