Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jus post your IMEI and i'll post you the UNLOCK CODE right here or through PM if you prefer. How to go about after th@? Insert any other SIM in your modem and it will ask for a unlock code and you...
1 Reactions
34 Replies
16K Views
Naomba mssada jinsi ya kudelete hili file \Program Files\Cyti Web\bin\09c3ffd6f1a34fde86e1d448e8559c21.dll; Kila nikidelete lina kataa ni scan linakuwa detected na disinfection inafail naomba...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Nimerudi tena tangu wiki iliyopita niliomba msaada lakini naona mmenichunia hakuna hata mmoja aliye nisaidia tofauti na wengine wakiomba msaada wanasaidiwa Narudi naomba nisaidieni ni wiki moja...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
habar wakuu naomba mwenye kufahamu namna ya kuondoa bios password anisaidie coz laptop yangu n dell inspiron 3521msaada jaman nimechanganyikiwa
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari ndugu wana jf baada ya kujipanga kwa muda mrefu hatimaye nimefanikiwa kununua laptop kutokana na ukosefu wa umeme nataka kununua betri ya gari na inverter halafu natumia kama source of...
0 Reactions
5 Replies
992 Views
Kwa Hii error ya IDM nahisi wame fix uchakachuzi wa aina yoyote nime download all latest crack files za torrent lakini bila bila Nimefuta previous keys kwenye Registry lakini bado bila bila,mwenye...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari ya wadau kama kawa katika pekupeku zangu nikakutana na hii launcher. Kwa kweli nimeipenda kwa kiasi chake kwani ka-Huawei Y300 kangu kanazidi kua katam zaidi ya mcharo .... Launcher...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina simu yangu aina ya iphone 4, inakamata mtandao nikiwa sehemu zenye mnala wa lain husika... Naomba msaada kama kuna mtu anajua tatizo laweza kuwa ni nn... 😿🙏🙏 Au kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani nisaidieni simu yangu ina wahi kupata moto pindi ninapoitumia
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari jf,samahani naomba menu ya zantel university offers
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna appearance zinanzo jitokeza mara kwa mara kwenye cm yngu note 2 na matangazo kweli zinanikera wakuu nifanyaje kuzizuia
0 Reactions
4 Replies
1K Views
binafsi nmekuwa ni mtumiaji mzuri sana wa internet ya AIRTEL. katika mitandano ya simu hawa wamekuwa na internet yenye speed ukilinganisha na nyingine nying. lakini kwa masikitiko makubwa VIRUSHI...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
natafuta mtaalamu anaeweza kuniwekea adsense ads between pots ktk blog yangu,inahitajika haraka sana.
0 Reactions
1 Replies
689 Views
Simu inakuwa full week nzima, kazi yako ni kuweka salio tu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Msaada jaman naomba kujua, alyekitumia king'amuzi cha continetal, malipo yake kwa mwezi, na je watakua na local chanel za bure?
0 Reactions
34 Replies
11K Views
Hello, Photocopier machine yangu RICCO AFICIO MP 3045 inaniletea error message "the cover is open as shown. Close it". Inaonesha kuwa cover ya upande wa kulia pembeni juu iko wazi lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana body naomba kwa wale wenye uelewa wa mambo ya simu wanijuze uwezo na ubora wa hii simu na bei zake.msaada tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nimenunua simu mpya Nokia lumia 532, internet nimeset vizuri na ina operate kama kawaida, nimeshindwa kuweka whatsapp na software zingine kama vile youtube, twitter, instagram na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hii laptop tatizo lake ni kwamba ikisha waka baada ya sekunde chache ina badilika nakudisplay mwanga tofautitofauti kama slide halafu inajigawa Mara mbili kwahiyo siwezi kufanya chochote some time...
0 Reactions
3 Replies
936 Views
moniter yangu ya lcd imekutana na tatizo.in tabia ya kuwaka na kujizima mara kwa mara ndani ya dakika 5 inafanya hivo hata mara 5 au 7,kwa mujibu wa fundi niliyempa aicheki tatizo kaniambia kuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…