Heshima kwenu wakuu,
Ulizo langu kwenu kuna uwezekano wa kuweka android inayosuport google services maana hii hakuna kitu...
aliejaribu atumwagie ushuhuda
amani kwako Chief-Mkwawa jaribio linaanzacustom rom zipo za kumwaga kama umeroot na kueka custom recovery download lolipop hapa
Nokia X / XL: Lollipop Rom for Nokia X/XL
amani kwako Chief-Mkwawa jaribio linaanza
Mkuu hebu kama utakuwa unajua ninapoweza kupata custom rom ya htc first nijuzecustom rom zipo za kumwaga kama umeroot na kueka custom recovery download lolipop hapa
Nokia X / XL: Lollipop Rom for Nokia X/XL
Mkuu hebu kama utakuwa unajua ninapoweza kupata custom rom ya htc first nijuze
Mkuu Fanya kitkat ya sony experia m dual 4.3 jb