Brevis Vs Premio

Brevis Vs Premio

Rawasen

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
182
Reaction score
74
Jamani Kuna Bwana Mkubwa Ameniomba Ushauri Anataka Akanunue Usafiri Ila Amekataa Verossa,Mark X Kabisa Sasa Anataka Kati Ya Brevis Au Premio Nimshauri Ipi

N:B Swala La Mafuta Huyu Bwana Ni Mchaga Mr Bana Matumizi
 
Kama anafikiria mafuta anunue premio.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Hahahahaha Brevis Haimfy MANI
 
Last edited by a moderator:
Jamani Kuna Bwana Mkubwa Ameniomba Ushauri Anataka Akanunue Usafiri Ila Amekataa Verossa,Mark X Kabisa Sasa Anataka Kati Ya Brevis Au Premio Nimshauri Ipi

N:B Swala La Mafuta Huyu Bwana Ni Mchaga Mr Bana Matumizi

halafu anawaza Brevis? anunue vitz
 
Rene Jr Mkuu Inaoneka Amezipata Mahali Za Kutosha Hataki Hata IST
 
Last edited by a moderator:
Mi nadhani kama swala la mafuta kwake ni mtihani basi BAISKELI inamuhusu yaani hiyo si kwamba inabana matumizi ila haitumii kabisa
 
Mi nadhani kama swala la mafuta kwake ni mtihani basi BAISKELI inamuhusu yaani hiyo si kwamba inabana matumizi ila haitumii kabisa

Jifunze kuelewa swali,
baiskel inatoka wapi hapo na mtu ushaambiwa anataka kati ya Brevis au Premio.
 
Back
Top Bottom