Msaada wadau ,natumaini mu wazima Wa afya na munaendelea na majukumu yenu.
Lengo la kuanzisha Uzi huu mi kutaka kupewa misingi ambayo itaniongoza ni namna gani nitaweza kutimiza ndoto yangu...
Jamani nna notebook yangu kama kicha husika kilivyo, nli install ubuntu, baada ya hapo nimeshindwa kuingia kwenye bios kabisa nkichagua bios setup system inaanza, pia nlitoa ubuntu nkaweka windows...
wakuu nimenunua mashine yangu mpya aina hiyo tajwa hapo juu..haina hata miezi miwili nimekumbana na hilo tatizo...ina display error E002-0000 nimeshindwa kuireset. naombeni msaada wenu kama...
Naomba maelezo ya kina kuhusu tafsiri ya power factor na kwann tuna coreect na pia why devices kama Generators na transforner viko rated ni Kva nieleze kwa lugha rahsi ntakuelewa nina elimu...
ndugu,
pc yangu imeingiliwa na virus mkali sana ambaye ado sijmfahu bado, file zote hazufuguki, imejariu kufanya system restore bado hakuna kitu.
naomba msaada wa kiufundi.
Thanx.
Habari yenu,
Ninaanzisha uzi huu kwa malengo muhimu ya kuwataka watu wote wanaomiliki blog tanzania tutoe experience na mwazo juu ya maswali yafuatayo;
1.JE HUWA UNAPATA WAPI TRAFFIC WA BLOG YAKO...
Habari wana jf,
Naomba kujuzwa itanigharimu kiasi gani kupata DSTV full. Kuanzia receiver, dish, gharama ya fundi wa kufunga hilo dish na kifurushi cha kuona league kuu za majuu(ulaya) kifurushi...
habarini wana janvi kuna kitu huwa kinaniumiza sana kicha leo imebili nikilete hapa janvini
swali ninalo jiuliza kila siku ni kwamba
Organisation system software huwa zinatengenezewa language...
nilidhani kila app unayopakua utakuata na keys zake ww ni mwendo kuitumia tu,Kumbe ni miyeyusho kanisa nimejaribu kupakua version mbalimbali za movavi editor.Yaani ni uchuro mara ina folder la...
Wana JF habarini!
Naomba msaada kwa mwenye kufahamu sehemu/duka wanakouza laptop kwa bei nafuu huko Mwanza. Nahitaji HP630 core i5, HDD 500GB, RAM 4GB na bei yake plz.
Thanks!