Nahitaji custom ROM ya Android kitkat kuendelea

Nahitaji custom ROM ya Android kitkat kuendelea

denestumain

Senior Member
Joined
Sep 20, 2014
Posts
172
Reaction score
152
Naomba anayeweza kunisaidia kwa ajili ya tecno p5 na Huawei ascend y530, asante
 
ukitaka kuenjoy custom rom tafuta simu maarufu na isiotumia mediatek.

tecno p5 sidhani kama ina custom rom sababu ya mediatek huwa driver kwao ni kitendawili.

na y530 si maarufu sana kwa developers.

next time nunua moto e
 
ukitaka kuenjoy custom rom tafuta simu maarufu na isiotumia mediatek.

tecno p5 sidhani kama ina custom rom sababu ya mediatek huwa driver kwao ni kitendawili.

na y530 si maarufu sana kwa developers.

next time nunua moto e

nikweli hizi mtk baadhi unaweza kuweka custom ila huawei y530 wametoa kernel source code tu kwa hiyo kazi kwa developers kama unaweza kubuild mpango mzima ila hizi simu za huawei nyingi hazina custom rom yaan si maarafu kibaya zaidi hawa huawei hawana technical support in case ukibrick simu ndo imekula kwako wanasema mediatek lakini rom haziingii hizo snapdragon ndo kabisa yaan hata stock rom nyingi kwenye website yao hakuna
 
Sidhani kama kuna Custom ROM iliyotoka ya simu hizo, haswa Huawei y530.
Zipo! Ipo ya xperia na note tena zinafanya vizuri nilishawahizitumia zote mbili.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
sasa mbona hio custom rom feature zake unaweza kuziweka bila kubadili rom?
 
Hakuna njia tunaeza install custom ROM ya Cyanogenmod kwenye tecno
Ni vigumu kubuild cyanogenmod ama Custom rom yoyote from scratch kwa kuwa simu za mediatek zina ugumu katika upatikanaji wa drivers. Kwa mfano, unaweza ukatengeneza custom rom, halafu baadhi ya vitu visisfanye kazi kutokana na ukosekanaji wa drivers.
 
Back
Top Bottom