Habari wana jf,
Naomba kujuzwa itanigharimu kiasi gani kupata dstv full.Kuanzia recever,dish,gharama ya fund wa kufunga hilo dish na kifurushi cha kuona league kuu za majuu(ulaya)kifurushi chenye supersport 3.
Naomba msaada kwa anayefaham.
Dstv dish na decoda kwa sasa ni 99000,kifurushi chenye epl andaa 190000 na ufundi mimi nafunga kwa 50000 tu.sijui wengine
mkuu bei dish na decoda 1290000...vifurushi vya mpera vipo mara mbili 199000 fully packegi na kingine ni 163000 kama sikosei...
Kulikuwa na offer labda imeisha.hata hivyo nasikia azam soon wataonyesha epl kwa kiswahili kwa mujibu wa tido muhando jana sasa ngoja tuwasubiri azam nao tuone watatulipisha kiasi gani
kama hii article ipo sahihi then tusahau epl kwa kampuni ya bongo
Cost of English Premier Leagueâs rights in Africa will rise | Contador Harrison
wanasema dau limepanda msimu huu hadi pound milioni 400 ambayo ni sawa na dola 622m. last time nikiangalia utajiri wa bakhresa ni around 500m. hivyo hapo unaona ugumu wake. unless wabadili sheria badala ya kutoa haki za sub sahara wagawanye kama sout frica, central africa, west africa, east africa etc
Azam hawezi onesha EPL labda anunue rights kutoka kwa dstv, tena rights za mechi moja tu kwa wiki.....
Huko UK skysport analipa hadi 10mil (hela ya malikia)
kwa mechi moja
Kama hujui kitu kaa tu kimya
Ninachokiona ni story tu ,Tiddo amesema haki ya kurusha matangazo kwa misimu mitatu ilishatoka na wanayo dstv na amekiri ni ngumu kuwatenganisha dstv na epl wao Azam wanapigania kupata hiyo haki misimu mitatu baada ya hii ya sasa kuisha
Ukweli azam hawezi,K24 ya kenya walionyesha msimu mmoja na kiuchumi wapo vizuri sana. Epl si mchezo.
kama hii article ipo sahihi then tusahau epl kwa kampuni ya bongo
Cost of English Premier Leagueâs rights in Africa will rise | Contador Harrison
wanasema dau limepanda msimu huu hadi pound milioni 400 ambayo ni sawa na dola 622m. last time nikiangalia utajiri wa bakhresa ni around 500m. hivyo hapo unaona ugumu wake. unless wabadili sheria badala ya kutoa haki za sub sahara wagawanye kama sout frica, central africa, west africa, east africa etc
Mkuu ukiangalia kama Nigeria DSTV wapo lakini hawana rights za kuonyesha EPL, inaonyeshwa na kampuni nyingine. Kwa hiyo pengine kuna haki ndogo ndogo za nchi moja moja au hata zonal. Na kuhusu utajiri wa Bakhresa, wafanyabiashara si wanatumia mikopo?
Sasa wanaonesha nini wakati ni EPL inayowaweka Dstv hapa Afrika?
K24 wapo vizuri kuliko Azam? do some research mkuu...