msaada ku upgrade android version

msaada ku upgrade android version

tzhumoally

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
412
Reaction score
156
wakuu nilikua nataka ku upgrade software vision kutoka 4.2.2 jelly bean kwenda lollipop inaniletea msg hii..cm yng ni lg g2
 

Attachments

  • 1435853420445.jpg
    1435853420445.jpg
    30.8 KB · Views: 203
Nimejaribu yakwangu (LG G 2 Mini LTE) lakini napata ujumbe huu; "communication in progress"
Ukifanikiwa ku-update naomba unijulishe mkuu!
 
Boss model gani mnatumia? Yangu D820 nimeupgrade miezi kibao iliopita.
Wife ana G3 inamuambia hivo hivo ila inasema sim card not registered, nikaiconnect kwrnye lg tool kwenye pc haikua detected, kumbe mchina kaka, ila ova real, jaribu na wewe kuonganisha
 
Nawacheka kweli
 

Attachments

  • 1436029426386.jpg
    1436029426386.jpg
    42.8 KB · Views: 105
Back
Top Bottom