Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
Msaada wadau ,natumaini mu wazima Wa afya na munaendelea na majukumu yenu.
Lengo la kuanzisha Uzi huu mi kutaka kupewa misingi ambayo itaniongoza ni namna gani nitaweza kutimiza ndoto yangu ya kuwa fundi madish mzuri , kimsingi napenda kujuzwa je ni vitu gani vya msingi ambavyo ninatakiwa kuvijua ili kukamilisha ndoto yangu ,yani ni vijisehemu vipi vya muhimu kabisa navyo takiwa kuvijua ili kukamilisha set nzima ya dishi je vitendea kazi muhimu kwa kaz hii ni vipi