inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 657
- 733
nilidhani kila app unayopakua utakuata na keys zake ww ni mwendo kuitumia tu,Kumbe ni miyeyusho kanisa nimejaribu kupakua version mbalimbali za movavi editor.Yaani ni uchuro mara ina folder la keys ambazo siyo zenyewe.Nyingine mara ina keys nne na zote feki nyingine mara haina keys kabisa wakati kwenye label wameandika with keys.Nikajaribu adobe premier yaani ndo uchuri kabisa yaani kila file la adobe nalodownload mara not compatible mara halina key mara .Yaani ni utumbo mtupu
hebu wadau nisaidieni nataka nipakue editor za adobe nakeys zake au movavi na keys zake complete nafanyeje.
Najua magwiji wa hii kitu wapo.
hebu wadau nisaidieni nataka nipakue editor za adobe nakeys zake au movavi na keys zake complete nafanyeje.
Najua magwiji wa hii kitu wapo.