E002-0000 ERROR Imagerunner 2202

E002-0000 ERROR Imagerunner 2202

Adolph

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2010
Posts
895
Reaction score
346
wakuu nimenunua mashine yangu mpya aina hiyo tajwa hapo juu..haina hata miezi miwili nimekumbana na hilo tatizo...ina display error E002-0000 nimeshindwa kuireset. naombeni msaada wenu kama inawezekana kuireset au kama kuna fundi tunaweza kuwasiliana inbox.thanx
 
Mashine ya kusaga mahindi au mashine gani, weka vizuri post yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom