Natafuta kioo cha sing sung LCD 32inchi

Natafuta kioo cha sing sung LCD 32inchi

wicalumtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
329
Reaction score
113
Jamani , naombeni kujua kwa dar naweza kupata wapi kioo cha flat screen ya sing sung 32 inch kwa pale kariakoo duka gani naweza kupata . Au kama kuna mtu anaweza nipa mawasiliano / namba za simu za hayo maduka kwa dar
 
peleka kwa wakala wa singsung watakusaidia Bro
 
Nipo iringa na huku hakuna wakala. Naomba mtu alie jiran anisaidie namba ake
 
Bro kwa flat hiyo ndio TV hapo fanya mchakato wa kitafuta ingine tu.... Motherboard ni 25000 tu na vikolombwezo vingine haifiki laki bei inayobaki iko kwenye screen bro..... Ushauri wangu nunua nyingine tu. Mimi samasung led 40" niliinunua millioni moja repair ya kioo wakanoambia lako sita nikawaambia wakae nayo tu....
 
Back
Top Bottom