Kikwete na Teknolojia ya Teleprompter

Kikwete na Teknolojia ya Teleprompter

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,057
Reaction score
1,573
Wadau naomba kufahamu Mkulu wa Nchi anatumia kifaa gani kusoma hotuba yake hapa Bungeni, au ndio kameza maana naona kama hasomi popote pale....

Naombaa kujuzwa wanaTeknolojia.
 
wakati anaanza kuhutubia kuna kitu alikitoa ktk pochi mkuu kipo pale juu ya meza tazama vizuri
 
Akihutubia bila kusoma lazima aanguke!
 
Invisible nawe hujui Mheshimiwa anatumia kifaa gani kusoma hotuba?
 
Last edited by a moderator:
lazma kuna k2 atakuwa anaxoma hawez kumeza hotuba yote hii.maana hata data muhmu anataja
 
lazma kuna k2 atakuwa anaxoma hawez kumeza hotuba yote hii.maana hata data muhmu anataja

Yes. It is 200% impossible!
Ila magufuri anatakwimu hadi za idadi ya samaki ktk maziwa na bahari
 
Jakaya hamfikii Mkapa kwenye Hotuba, ila katika watia nia wote wa Ccm hakuna anaemfikia kwenye Hotuba za Kisiasa. Anahutubia bila ya kusoma Popote
 
Wadau naomba kufahamu Mkulu wa Nchi anatumia kifaa gani kusoma hotuba yake hapa Bungeni, au ndio kameza maana naona kama hasomi popote pale....

Naombaa kujuzwa wanaTeknolojia.

Kuna technojia anatumia hata obama ndiyo anayotumia.
 
Lowasa hutuba anaandikiwa na bado anashindwa kuisoma.
 
telepromter.jpg

Ndio hii hapa.
 
Back
Top Bottom