Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

nimepoteza moderm yangu, sasa nilitaka nitumie simu yangu (galaxy pocket) kuconnect internet kwenye laptop yangu,, nimejaribu kutumia usb then nikaenda kwenye usb teathering bt no...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Motorola Moto X Style...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
AZAM Media Flash Page Link hiyo hapo lakini sipati!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
msaada nikitaka kuzima simu reboot ni neno mojawapo linalotokea je Niki click nikitafanyika ktk sim yang kita kuwa na faida au hasara
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada,je kifurushi cha dstv cha shilingi elfu 78 naweza kuangalia epl mechi zote?. Natanguliza shukran
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Jaman nimehamia arusha hivi karibuni hvyo basi naomba kujulishwa kwa mtu ambae ametumia milani cable pamoja na azam tv kipi ni bora. Ntashukuru kwa msaada kabla sijaamua nachagua nn.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari ndugu zangu..mimi nina tv aina ni samsung led 32" siries 4 model:ua32eh4003r nimeskia naweza kupata channels kwa kutumia antena ya kawaida ..je inawezekana na kama inawezekana naomba...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jaman naomben msaada anaejua wapi naweza pata wireless intercom devices kwa hapa tz anisaidie 0652 868667
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Habari wakuu, Nilikuwa natengeneza graphics inayohusisha handwritting ambayo ningependa kutumia rangi inayoonekana real. Kama kunamtu anajua CMYK code colors za peni ya blu au nyeusi naomba anisaidie
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wakuu naombeni msaada natumia pc aina ya accer nilikuwa natumia vizuri tu hii bluestack proggram lakini baadae ikaanza kusumbua nikifungua inaishia kwenye initializing tu..nikajaribu ku unstall na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WADAU habari za siku nyingi. Nimeona mahali kuwa kuna online backup. Naomba mwenye ufahamu mkubwa nayo anijulishe.Nina backup kwenye external hard drive lakini mara ya mwisho nili scan nikagundua...
0 Reactions
3 Replies
960 Views
kama umewahi kutumia hii simu naomba feedback kuhusu personal experience yako
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii simu tajwa nime login kwa account yangu ya gmail, lakini nimeshindwa ku-logout maana sioni option yoote ya kulogout. Naombeni msaada wenu wakuu.
0 Reactions
4 Replies
902 Views
Naomba kuelekezwa nini maana ya core kwenye computer na zinatofautianaje kati ya core moja na nyingine, mfano core i3, core i5 na zinginezo Nashukuru
0 Reactions
4 Replies
6K Views
hbr!now na karibia miezi2 sipati channel yoyote katika dish langu la fta ft6 na natumia decoder ya wiztech9500dvb s2 mpg4
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hello wadau nauza simu Samsung note 2, imekufa kioo, Mashine nzima kabisaaa bei 170,000 Maongezi yanakaribishwa Call 0782137063
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Laptop yangu aina ya lenovo inawaka lakini hai-start badala yake inaandika neno lenovo na kuzimika, pia nina desktop ina tatizo la RAM kustart. Mwenye ujuzi tafadhali naomba ani-pm nipo dar. This...
0 Reactions
2 Replies
904 Views
NIPO DAR NAHITAJI LAPTOP YENYE UBORA ....KWA 500000 ubora ulingane na bei yake
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu ntashukuru nkipata msaada huu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za jioni wakuu wenzangu, Naomba msaada wenu wa kujua majina ya hizi fonts (A & B) Mara ya kwanza nilikua nazitumia katika designing zangu, sasa baada ya kufanya clean Instalation ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…