makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,482
- 5,138
wakuu naombeni msaada natumia pc aina ya accer nilikuwa natumia vizuri tu hii bluestack proggram lakini baadae ikaanza kusumbua nikifungua inaishia kwenye initializing tu..nikajaribu ku unstall na kudownload upya lakini hakuna mafanikio yoyoye hali ni hiyo hiyo yapata wiki sasa naombeni msaada wenu wakuu..natanguliza shukrani asante