Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 589
- 278
Laptop yangu aina ya lenovo inawaka lakini hai-start badala yake inaandika neno lenovo na kuzimika, pia nina desktop ina tatizo la RAM kustart. Mwenye ujuzi tafadhali naomba ani-pm nipo dar.
This is urgent.
This is urgent.