Msaada wa majina ya hizi fonts

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Habari za jioni wakuu wenzangu,
Naomba msaada wenu wa kujua majina ya hizi fonts (A & B)
cole.jpg
Mara ya kwanza nilikua nazitumia katika designing zangu, sasa baada ya kufanya clean Instalation ya window yangu nkashangaa, project zangu nyingi FONTS zimebadirika, nkagundua nilisahau kuzi buckUP ,
na sasa najuta naombeni mnisaidie najina yake ili ni download
Asanteni sana
 
font ya juu ni avengeance
th

ila ni ya kulipia so mwanzo inaonekana uliitoa torrent
 
fonts nazo mpaka ulipie jaman???

kaka fikiria kwa upande huu, mtu anatengeneza logo na anatumia font zako miaka nenda miaka rudi ameingiza mamilioni ya hela kuna ubaya gani kama angetoa shilingi 2000 tu kukulipa kwa kazi yako ya kubuni hizo font?

font nyingi ni bure kwa personal use (kuandikia assignment, kutengeneza picha za nyumbani tu, kufundishia nk) lakini kama unatumia kwenye matumizi ya biashara inabidi ulipie
 
fonts nazo mpaka ulipie jaman???
Most fonts ni kwa personal use pekee. Kwa hiyo mtu au organization ikitaka kutumia fonts kwa ajili ya promotion ya biashara au logo, lazima kuwe na ruhusa kutoka kwa author (Maana ya yeye ana Hakimiliki). Hapo ndipo Author mwenyewe ataamua awatoze fedha (aanze kuuza), maana font yenyewe ikianza kufahamika, ndipo na yeye atapata faida kubwa.
Kwa mfano; hiyo Avengeance ilitumika kwenye poster ya movie ya "The Avengers".

images
 
nimekusoma kaka
 
mi mbona natumiaga hizi fonts za kudownload kutengeneza logo, inamaana ntakuja kudaiwa?
 
Back
Top Bottom