Nini maana ya core kwenye computer

Nini maana ya core kwenye computer

Jostrick

Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
66
Reaction score
35
Naomba kuelekezwa nini maana ya core kwenye computer na zinatofautianaje kati ya core moja na nyingine, mfano core i3, core i5 na zinginezo

Nashukuru
 
Naomba kuelekezwa nini maana ya core kwenye computer na zinatofautianaje kati ya core moja na nyingine, mfano core i3, core i5 na zinginezo

Nashukuru
Mkuu watu wako busy na siasa huko. Hata huvyo nakumbuka kuna uzi humu ndani uliongelea mambo haya. Anyway watalam watakuja tu. CC Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Core i3 ni El
Core 15 Maalim
Core i7 ni kufuri la solex
 
Back
Top Bottom