Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nitumia tecno p6 imekuja na whatsup, sasa nataka kuitoa, nafanyaje bila kuroot simu? Msaada please wakuu....
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Je hii ipo mikoa ipi kwa sasa ? Namaanisha Tigo. Leo katika pitapita nimeiona kweny vifurushi vyao vipya vya internet.
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nimeiflash Imegoma, Kwa Mwenye Kujua Hili Tatizo Acomment Ntamuinbox Namba Yangu
0 Reactions
3 Replies
876 Views
Inside Google's brain: Search giant reveals how massive network that delivers every search request, YouTube video view and Gmail works Technical presentation reveals search giant now runs over...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wapendwa Natihaji Hard drive ya Laptop GB 500 Laptop yangu ni Dell Mimi nipo Arusha Naomba ni PM PLEASE
0 Reactions
0 Replies
873 Views
ninaparcel yangu nimenunua kutoka german lakn nimeshindwa kusafirisha kwa dhl man wamesema hawaruhusu kusafirisha parcel zenye betre wanahofia madhar kweny ndege mizigo yangu ipo tu sijajua...
0 Reactions
2 Replies
738 Views
Habarini wadau poleni na majukumu Naombeni msaada kama kuna fundi yoyote ambaye ana kioo na simu aina ya nokia Lumia 820 pamoja na housing yake ya nyuma ambayo inafunika betri ajitokeze hapa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
PaidVerts pays someone to interact with marketers! Paid for ads will probably be sent to your account daily. Just about all you have to do is replicate 3 outlines associated with textual content...
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Habari wadau. Najua wengi mnatumia sana hii mitandao ya kijamii na facebook ukiwa mmoja wapo. Ninachotaka tujuzane ni kuhusu jambo ili hapa. Ukiwa ni mtumiaji wa muda mrefu au kipindi flani hivi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, hapo awali nilikuwa natumia receiver yangu ya strong kwa bahati mbaya ikapigwa na radi ikawa haikamati signal kutoka kwenye lnb na power yake inayotoka kwenye port ya lnb in ni ndogo sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF. Ndoto zangu ni kumiliki Garage. Ningependa kujua yafuatayo 1.Gharama za kuanzisha Garage. 2.Sehemu nzuri kwa shughuli hii inapaswa iweje? 3.Usimamizi wa Garage upo vipi? maana...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Natumia samsung glx note 1. Kwa siku za karibuni inaniletea ujumbe unaosomeka kama ifuatavyo..:- "STORAGE SPACE RUNNING OUT. SOME SYSTEM FUNCTIONS MAY NOT WORK" nimejaribu kufuta baadhi ya vitu...
0 Reactions
3 Replies
935 Views
Wadau naombeni msaada kuhusu kudownload SMS forwarder je ,NI simu za aina gani naweza kudownload hii kitu? Mimi Nina techno M3
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KUna Huo uwezekano? kama upo nahitaji cable/kifaa cha aina gani?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari zenu wanajukwaa. Nina tatizo na laptop yangu ya aina ya Acer E-series; tatizo ni kwamba nikiunganisha power cable inawaka na pia inaonesha battery inacharge, sasa kinachoisibu hii laptop ni...
0 Reactions
2 Replies
860 Views
Habari wanajf! Kuna jamaa yangu kafuta playstore kwenye simu yake tajwa hapo juu. Naomba msaada kwa wataalamu na mambo hayo ili nipate maelekezo nifanyeje ili kupata kuirejesha...
0 Reactions
4 Replies
703 Views
Wakuu nilikuwa na kaspersky 2015 katika laptop yangu ambayo Os ilikuwa Window8 baada ya ku upgrade na kuwa Window 10 nikataka kuirudishia ikakataa ina sema hii Os ina antivirus inazokuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cyber Security means different things to different people: for individuals, it can simply mean privacy; for companies it can mean the protection of sensitive information from malicious attacks...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
simu yangu tecno h5 inatatizo haipigi camera ya mble naomba mwenye kujua anisaidie cna raha kwa kwer
0 Reactions
0 Replies
488 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…