Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

hili tatizo linatokea mara kwa mara kwenye simu yangu nikifungua kitu chochote inaniambia isn't responding naomba msaada wa kurekebisha hili tatizo .
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina my computer, it operates normally. Ila when connected to the internet inaguwa nzito sana kwa kila kitu. I need help on how to regulate it into normal operation even if connected to an...
0 Reactions
4 Replies
737 Views
humu ndo kila kitu. naomba ajuaye namna niwe naangalia Channels za tv za Tanzania hasa ITV mana mda wa habar nakuwa mbali na Tv. nielekezwe kama slow learner tafadhar. shukran.
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Naomba nielekezwe namna ya kuinstall FIFA 2015 kwenye laptop... Pamoja na link ya kudownload cracks
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana jamvi Leo nawaletea muonekano harisi wa kifaa cha kucontrol kiwango cha joto katika mashine ya kutotolea vifaranga. Hii itasaidia wale mafundi ambao wanamahitaji ya kifaa hiki...
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Hey guys, i hope mko poa! Juzi kati hiv nilijaribu kudownload Need for Speed Most Wanted ya 2012 for PC nikapatwa na majanga mazito! It was a torrent file from one famous torrent file sharing...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nilikuwa nimeireset coz kuna apps zilikuwa kila nikiz uninstall hazitoki lakini nilipo reset baada ya kuwaka nataka niweke whatsapp sim inanambia Google playstore haipo nashindwa kuweka app yoyote...
0 Reactions
1 Replies
884 Views
Habari zenu wakuu. Naomba kujuzwa tatizo ni nini wakuu mpaka niambiwe memory low wakati 16gb haijajaa. Niki-download tokea Playstore naambiwa insufficient memory ila niki-download tokea...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
wakuu nauliza bei ya screen ya Acer, inch 11.6, ni sh. ngapi original?... na je kuna muuzaji aliye Mbeya au Mwanza humu?
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Kwema wadau? Naombeni msaada wa maelekezo na maelezo pia kuhusu ku in store program zinazohitaji kulipiwa ktk google play store.
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Nilikuwa na download nyimbo asubuhi kwa bahati mbaya nimedowload nyimbo nisiyoitaka basi nikasema niifute sasa kitu cha ajabu na bonyezabonyeza kuangalia sehemu iliyo andikwa delete file...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jana niliserch network manually eneo nililokuwa nikakuta kuna mtandao unaitwa HITZ TZ. Je hii ni kampuni gani?
0 Reactions
31 Replies
10K Views
Nilikuwa na download file muda huu kwa bahati mbaya nimedowload file nisilolitaka basi nikasema nilifute sasa kitu cha ajabu na bonyezabonyeza kuangalia sehemu iliyo andikwa delete file...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kwa yeyote mwenye ufahamu wa kuroot simu za startimes solar5 anisaidie
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu ningependa kuuliza heti receiver ya SRT 4922 ina bei gani kwa sasa?, niliongea na MWANAILALA akaniambia ni 150,000 na je nikinunua ninapewa na smart card yake ya my tv?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu naomba kuuliza ni king'amuzi kipi ambacho channel muhimu za hapa bongo zinabaki hata package yako ikiisha.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ya kazi wakuu... samahani naombeni maujuzi ya kuroot samsung mega yangu ili niwe super user
0 Reactions
3 Replies
765 Views
Wakuu, Nimeibiwa Laptops 2 Simu na Hard diskis 2 plus vitambulisho na kichinjio. Mbaya zaid mwizi anatumia namba yangu kumpigia rafiki yangu ana demand pesa ili arudishe mali alizoiba. Pia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habar wadau naomba msaada ninataka kufungua internet cafe vifaa nilivyonavyo ni computer (8) switch( 16ports) Rj-45 na cable modem naombeni simple explanation about how to connect between switch...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau ivi inawezekana kuistall offline application za blackberry kwenye simu ya android? Kama kuna mwenye wazo anaweza nisaidia. Kumbuka nataka BlackBerry application nizitumie kwenye simu yangu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…