Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
Habari ndugu zangu ningependa kuuliza heti receiver ya SRT 4922 ina bei gani kwa sasa?, niliongea na MWANAILALA akaniambia ni 150,000 na je nikinunua ninapewa na smart card yake ya my tv?