Help on boosting computer

Help on boosting computer

THE RIGHT

Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
57
Reaction score
3
Nina my computer, it operates normally. Ila when connected to the internet inaguwa nzito sana kwa kila kitu. I need help on how to regulate it into normal operation even if connected to an internet. Natumia window 8, and my computer is compaq
 
Bonyeza ctrl+alt+delete itafunguka task manager then click perfomance halafu resource monitor.

Then ingia internet halafu angalia kitu gani kinajaa?

Kwenye task manager pia angalia ram na cpu zinaliwa vp na apps.
 
Inaonesha hivo after following instruction zako.
 

Attachments

  • 1442489011507.jpg
    1442489011507.jpg
    27.1 KB · Views: 59
  • 1442489032990.jpg
    1442489032990.jpg
    73.3 KB · Views: 48
Inaonesha hivo after following instruction zako.

Ukiangalia kwa makini hapo una matatizo mawili.

1. Ram yako ni ndogo itabidi uiongeze, pc yako ina ram kiasi gani?

2. Tatizo la pili hdd yako ipo slow, hdd za faster zinauzwa bei ghali sana na sababu hio ni laptop ya zamani sikushauri kui upgrade hii,

Solution upgrade hio ram kwanza sababu ndio imejaa zaidi then tuone itakuwaje.

Bei za ram unapata hadi 20,000 kwa 2gb, ukijumlisha na hio uliyonayo itatosha kabisa
 
Back
Top Bottom