Bei ya kioo cha Laptop

Bei ya kioo cha Laptop

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
8,118
Reaction score
5,368
wakuu nauliza bei ya screen ya Acer, inch 11.6, ni sh. ngapi original?...
na je kuna muuzaji aliye Mbeya au Mwanza humu?
 
kwa hiyo hakuna anayejua bei????
 
Nimecheka jinsi ulivyo i boost post ya past 4 days,sijui bei mkuu
 
wakuu nauliza bei ya screen ya Acer, inch 11.6, ni sh. ngapi original?...
na je kuna muuzaji aliye Mbeya au Mwanza humu?

Mi ninibadili cha DELL kwa USD 190 pale simply computers huku Dar
 
wakuu nauliza bei ya screen ya Acer, inch 11.6, ni sh. ngapi original?...
na je kuna muuzaji aliye Mbeya au Mwanza humu?

Mkuu nikuuzie acer yangu ina kioo kizima ila yangu inatatizo la vibonyezeo baadhi havifanyi kazi
 
sasa mkuu hapo si ntaingia tena gharama ya kurekebisa hizo keys ..
Kakwambia anakuuzia kama spare so ni juu yako ukitoe kioo uweke kwako au utoe vibonyezo kwenye laptop yako uhamishie kwenye laptop atakayokuuzia.
 
mmh mbona hiyo dola 190 ni zaidi ya laki 4, akiiongeza kidogo hapo si atapata computa nyingine

Used..?? Ya specs zipi..?? Mnapoambiwaga laptop tshs. 400,000/- uliza zaidi ya hapo....
 
Back
Top Bottom