kama unachukizwa na uwepo wa matangazo wakati unapo play video youtube waweza kuzuia matangazo hayo kama ifuatavyo
.fungua youtube video yoyote
.kisha fungua developer console...
wana jf nisaidieni simu yangu button ya lock ukii click haifanyi kazi pia na sauti haitoki labda nikitaka kusikiliza music au simu ikiita hadi nitumie earphone msaada wenu wakuu
Hii simu nlii iformat sasa nataka kuunganisha internet inakataa. ingawa naswitch dat on lakini bado kuna kuwa hakuna internet connection, wadau mnisaidie hili tatizo naliondoaje maana sasa hapa...
Good news they have found aliens.
Bad news the aliens are about to invade earth. Is it? 😃'Mars mystery solved': Nasa prompts speculation with promise of major announcement | Science |...
Hizi sheria mpya za mitandao ingawa zina matatizo yake, kitu kimoja napenda kupongeza ni kukomesha blog za ngono bongo, zilikua zimejaa nyingi sana, kila blog ukipita habari mbili tatu alafu 90%...
wadau naombeni msaada kwani ni wiki zaidi ya pili sasa sipati hzo channel na nimekua nikifanya automatic search hua inaningizia chanel ambazo zimeandikwa PROGRAM
natanguliza shukran
habari,
naombeni kujuzwa kwa wale wanaojihusisha na online advertisements from google adsense and other affilate marketing networks...........njia gani mnatumia kupokea mkwanja
dont recommend me...
wakuu..najua kuna watu wana ac mingi za facebook na hawaihitaji kuzitumia zipo tu random..Kiukweli nina shida na ac za facebook kwa ajili ya kufanyia kazi zangu za kushare habari zangu za blog na...
Salaam wapendwa,
Ninatafuta simu tajwa hapo juu siipati zilizopo kwenye maduka ya tiGO na mengineyo nyingi hazisupport 4G/Lte. Sasa naomba msaada kwa yeyote anaefahamu duka naweza pata yenye...