M Malipo kwamungu JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 574 Reaction score 86 Sep 25, 2015 #1 Muda mrefu king'amuzi cha startime kinakata sauti nifanyeje wadau? hasa wakati wa taarifa ya habari wajuzi nisaidieni jamani
Muda mrefu king'amuzi cha startime kinakata sauti nifanyeje wadau? hasa wakati wa taarifa ya habari wajuzi nisaidieni jamani
K kinauche JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 7,681 Reaction score 2,219 Sep 25, 2015 #2 Kwani wao wanasemaje?