kwa kuongezea tu unatakiwa utafute model hii - Samsung galaxy core prime G360F pengine mwenye duka hajui kama ina 4g au haina zipo model nyingi kama
-G360F
-G360H
-G360BT
-G360G
hakikisha unatafuta hio inayoishiwa na F ndio band zake zinakubali Tanzania