sim yangu kuna wakati nikipiga/ kupigiwa huwa ina ganda katikati ya mazungumzo au mara bada ya kupokelewa na baada ya dakika mbili au tatu inazimika halafu inajiwasha tena nimejaribu ku format...
Wakuu Habari Zenu..
nlikua Naomba Kufahamishwa Juu Ya dongle za Ku Unlocu Simu..
1)Bei Yake Inakwendaje
2)Ku Unlock Kwa Dongln Na Kwa Code Ipi Nhp Safe Na Rahisi..
3)Dongle Inj Uwezo Wa Ku...
Hello Fellow Members,
I have been searching all over the internet for Tanzanian List of wards (kata) or Streets in a format of Region -> District -> Ward/Street.
If anyone know anything about...
Nilizima simu yangu na nilipoiwasha ikaji 'update' lakini sikuona kama imekamilisha zoezi hilo, maana ilichukua kama nusu dakika tu. Kuanzia hapo inasumbua sana mara apps zigome, mara zigande. Leo...
Sijajua kama hii topic ipo humu au haipo. Kama ipo mod ataiunganisha.
Watu wengi humu jf wanakuja kuuliza vitu ambavyo vimeshakua posted mara kibao na watu wanakua bored kujibu vitu hivyo hivyo...
Kuna jamaa kajifanya mjanja hapa JF tumefanya biashara Nikampa mzigo wake akanitumia hela ilikua saa 4 usiku nikasema nikaitoe hiyo pesa kesho yake coz ilikua usiku sana..sasa yeye baada ya...
Habari wana jf
nimekuwa nikkuta na naneno hacker humo jf ila sikujua ni nini, ila nimechunguza na kujua kuwa hacker ni mtu
swali langu ni:
hacker maana yake ni nini?
hacker kazi yake kubwa ni...
Hi All,
Those who have experienced the problem of check balance, send money fail, USSD Code problem contact Jane Phone No. 0754291099, she solved my problem on time which take several months...
Wakuu nilikua nimesafri bahati mbaya nikaacha (nilisahau) vitu kwenye friji,kutokana na Matatizo ya tanesco nimerudi nikakuta vitu vimeharibika na friji inatoa harufu mbaya sana.
Kwa kweli...
nimeanza kuwa na mashaka na hii eBay anyway maneno matupu hayavunji mfupa INGIA HAPA
Au ingia ebay sehemu ya kusearch andika "laptop" ushudie laptop za elfu arobaini afu mpya
UPDATE
Hizi Laptop...
Wakuu nimejaribu kila njia.. Volume up +power button, volume up+home +power, home button +power button nimeshindwa.. Mwenye maujanja zaidi msaada tafadhal
Hello wandugu
Natafuta mtu ambaye anaweza nitengenezea app itakayopatikana kwa simu za IOS na android
Kazi yake kuu ni kibiashara zaidi
Kama yupo humu npm tufanye business au whatsApp +1...
Habari zenu wanajukwaa.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kuwa nahitaji kujua namna ya ku-download picha zikawa na muonekano mzuri baada ya ku-search google.
Mimi nimekuwa niki-save...
Habari za siku ya leo? kama heading inavyosema hapo juu. Dada yangu kapewa tablet ya Virgo XL inayorun Android 4.1. Sasa shida inakuja ni kuwa hiyo tab ukiingia playstore ukidownload apps kama...