Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

KUKU-DUME

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
474
Reaction score
196
sim yangu kuna wakati nikipiga/ kupigiwa huwa ina ganda katikati ya mazungumzo au mara bada ya kupokelewa na baada ya dakika mbili au tatu inazimika halafu inajiwasha tena nimejaribu ku format lakin tatizo bado linaendelea hivyo naomba msaada kwa wanao lifaham tatizo hili linasababishwa na nn? na nin kifanyike ili tatizo hili liishe maana linaninyima raha katika matumizi ya sim.
 
simu gan?
 
Tatizo kama hilo lilishawahi kunitokea,linasababishwa na battery kukaa vibaya.
Kwa hiyo solution hapo ni kulikandamiza battery vizuri kwa kutumia kikaratasi.
Baaaaaaasi,mchezo umeisha.
 
Back
Top Bottom