mizarb
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,402
- 1,290
Nilizima simu yangu na nilipoiwasha ikaji 'update' lakini sikuona kama imekamilisha zoezi hilo, maana ilichukua kama nusu dakika tu. Kuanzia hapo inasumbua sana mara apps zigome, mara zigande. Leo inaleta pop up txt ya device information update nikiibonyeza haina response. Watalaamu karibuni