msaaaaada samsung galaxy s2

msaaaaada samsung galaxy s2

mahmouddy

Senior Member
Joined
Jan 29, 2015
Posts
128
Reaction score
30
inakuwa inapata saaana joto alafu charge haikai pia inachelewa kujaa, ila inapata saaaana jooto, msaaada please
 
Hebu fanya hivi: iweke ndani ya friji kama 15 mnts then itoe uone. I'm sure ttz litakuwa limeisha
 
inakuwa inapata saaana joto alafu charge haikai pia inachelewa kujaa, ila inapata saaaana jooto, msaaada please

tatizo limeanza lini?? unatumia android version ipi?
 
Badilisha battery kwani ikichoka hiyo ni moja ya dalili but before hujanunua unaweza azima battery kwa mtu na kujaribu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom