Hivi eBay ni genuine market place?

Hivi eBay ni genuine market place?

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
nimeanza kuwa na mashaka na hii eBay anyway maneno matupu hayavunji mfupa INGIA HAPA

Au ingia ebay sehemu ya kusearch andika "laptop" ushudie laptop za elfu arobaini afu mpya

UPDATE
Hizi Laptop na Simu nilinunua ila inshort ni kwamba kuna watu walikua wame Hack Ebay wanafanya unauthorised Listings ya hizo items
Niliponunua hizi items hazikupita 24hrs nkaambiwa "Items Removed" na kama nilishalipa Pesa nifungue Case kwenye resolution center nilifungua Case Pesa wakairudisha
 
Mchiz wangu ali test kwenye paypal anaambiwa payment completed kwenye email ajatumiwa paysheet afu anaambiwa item removed coz it didnt follow ebay guidelines for listing
 
Most of the items listed pale zipo kwenye bidding process, and some(one) that have a "buy now" option watu huwa wanasahau kusoma descriptions.

But let's take a more general case:
Using your example link, macbook design hasn't changed for years, Images are deceiving, descriptions are more accurate like a 2008 macbook has the same body/design as a 2012 macbook, there's no way yo can tell by looking at it unless described.
Pili, sometimes people won't list kuwa the stuff they are selling is for parts only in the title, but they usually put it on description, ukiingia mkenge ni buyer's fault.
Tatu, before buying a thing in ebay ni vizuri kuangalia seller's reputation, na ni vizuri after u buy something on ebay write a review and rate the seller, it will help other pia in the future.

I've been buying stuffs on ebay for years now, and I've never had issues, pia vitu vingi vipo covered kwenye ebay's buyer protection so you can file a complaint and get a refund if description ya seller didn't match the actual product.

Until then ebay is a safe place to shop, and most of the stuffs are legit and their prices usually reflects the condition of the device being sold.
 
nimekusoma mkuu lkn kwa nn baada ya siku zinaondolewa eti azikulistiwa according to the rules mfano hiyo iweke kwenye watch list afu baada ya siku utaona
 
Mchiz wangu ali test kwenye paypal anaambiwa payment completed kwenye email ajatumiwa paysheet afu anaambiwa item removed coz it didnt follow ebay guidelines for listing

Paypal wanarudisha pesa zako ikiwa hujaletewa ulichonunua. Unachotakiwa ni kuripoti na kufuata taratibu zao.
 
Ebay ni ujuzi wako wa kuchagua ukiangalia sana bei na kuacha kuangalia mambo mengine utaletewa kumpyuta ya kichina. Kuna mambo mengi muhimu unatakiwa kuangalia unaponunua kwenye Ebay:

1. Kagua picha za bidhaa kwa makini sana. Kwa mfano wengine huweka picha ya simu kukuonyesha kwamba skrini imechunika.

2. Soma kwa makini maelezo ya bidhaa, kwa mfano wengine huuza bidhaa kwa bei rahisi mno mpaka utashangaa, ukisoma maelezo utakuta kifaa kile hakifanyi kazi kinauzwa ili utoe spear au ukatengeneze mbele.

3. Angali utaratibu wa uuzaji, kwa mfano kwenye simu unaweza ukakuta bei ni £ 1, kumbe ni simu ya "contract", au inaweza ikawa bidding. Kuna mtu amenunua manual ya TV akidhani amenunua TV kwa bei rahisi kiasi cha kushangaza, lakini kwa vile alisikia eBay rahisi basi akavamia, siku zimepita kaletewa manual ya TV kurudi kusoma maelezo yameweka wazi kabis kinachouzwa ni manual lakini picha iliyotumika ni ya TV. Hata hivyo alirudishiwa fedha zake na paypal kwa kuwa picha ilikuwa inafanya udanganyifu.

4. Angalia historia ya muuzaji, kuhusu muuzaji unaangalia mambo matatu:
a.) Yuko wapi ili uweze kujua itachukua muda gani kueltewa bidhaa
b.) Ameuza bidhaa ngapi kama ana 10 au 30, huyu ni wa kumuepuka kwa sababu hana uzoefu au si mfanya biashara kwa hiyo anaweza akachukua pesa kisha akafunga akaunti. Lakini kama ameuza bidhaa 900 basi unajua hili ni duka.
c) Unaangalia asilimia ya feedback, kama anachini ya 98% basi ni wa kumuepuka huenda ana matatizo.

kuna mengi mengine ya kuangalia, la cha msingi ukiwa makini unaweza kununua vitu kwa miaka bila ya kupata matatizo na ukiwa unavamia basi watakuingiza mjini.
 
nimekusoma mkuu lkn kwa nn baada ya siku zinaondolewa eti azikulistiwa according to the rules mfano hiyo iweke kwenye watch list afu baada ya siku utaona
Hii ni kweli hutokea na hasa kwenye masuala ya counterfeit, yaani bidhaa feki iPhone lakini sio ya Apple, na mambo kama hayo. Hata hivyo hii haipelekewi kuibiwa. Ukitoa taarifa kama umeshalipa fedha na kama umelipa kweli, basi pesa yako inarudi, hii ni uhakika.
 
nimekusoma hapo mkuu
 
Wakuu Millah na ub16 hivi unaweza kununua bidhaa ebay na ukasafirishiwa bidhaa yako hadi huku Bongo? maana mimi nimezoea kulipia halafu mzigo unatumwa kwa jamaa yangu mmoja ambaye yupo huko U.S.A halafu yeye ndio ananitumia mimi huo mzigo.
 
Last edited by a moderator:
Najua ebay sio matapeli hata kidogo. Kuna kipindi nilimtembelea ndugu yangu anayeishi Rome, Italy na niliona Projector kwenye ebay nikaipenda. Tuliichagua, tukalipia on line na kuwapa delivery address. Ndani ya siku ya mbili waliileta hiyo projector kwa specification tulizochagua na kulipia.

Nisichokuwa na uhakika nacho ni je ukiwa huku bongo unaweza kununua kutoka ebay na wakakutumia mzigo?

Mwenye ufahamu atujuvye.

Tiba
 
Wakuu Millah na ub16 hivi unaweza kununua bidhaa ebay na ukasafirishiwa bidhaa yako hadi huku Bongo? maana mimi nimezoea kulipia halafu mzigo unatumwa kwa jamaa yangu mmoja ambaye yupo huko U.S.A halafu yeye ndio ananitumia mimi huo mzigo.

Binafsi sijawahi kununua nikiwa Bongo ndugu yangu kwa hiyo sina ujuzi nalo swali lako na nisingependa kutoa jibu la kubahatisha.

Ila Tanzania si miongoni mwa nchi ambazo wauzaji huziepuka, nafahamu Nigeria huwa inaepukwa sana kwa sababu wa-Nigeria noma. Wananunua vitu wanapoelekewa halafu wakishakuvipata wana-file complain kwamba hawakupata kitu ili warudishiwe fedha zao. Ndio wauzaji wengi huandika "We do not ship to Nigeria" na nchi nyingine kadhaa.
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi huu. Naona hapo kuna mali kutoka China inayokuwa shipped world wide!!! Obvious na gharama ya hiyo bidhaa inaongezeka kulingana na sehemu wanapo i-ship sio?

Tiba
Hiyo laptop ni free shipping lkn kuna nyingine unawekewa price ya ku-ship ambayo naona kwa baadhi ya items huwa ni moja kwa nchi zote lkn kuna nyingine items shipping price uwekewi mpaka umcontact seller akwambie had nchini kwako ni bei gani lkn hii ina work iwapo ni shipping worldwide
 
Ninavyojua ebay huwa si matapeli. Ila cha muhimu ni kuangalia security signs zao. Kuna watu wanahack website ya ebay kwa hiyo badala ya kuwasiliana na ebay unakuwa unawasiliana na watu wengine. Inabidi uwe na ka ujuzi wa mtandao.
 
Ebay ni ujuzi wako wa kuchagua ukiangalia sana bei na kuacha kuangalia mambo mengine utaletewa kumpyuta ya kichina. Kuna mambo mengi muhimu unatakiwa kuangalia unaponunua kwenye Ebay:

1. Kagua picha za bidhaa kwa makini sana. Kwa mfano wengine huweka picha ya simu kukuonyesha kwamba skrini imechunika.

2. Soma kwa makini maelezo ya bidhaa, kwa mfano wengine huuza bidhaa kwa bei rahisi mno mpaka utashangaa, ukisoma maelezo utakuta kifaa kile hakifanyi kazi kinauzwa ili utoe spear au ukatengeneze mbele.

3. Angali utaratibu wa uuzaji, kwa mfano kwenye simu unaweza ukakuta bei ni £ 1, kumbe ni simu ya "contract", au inaweza ikawa bidding. Kuna mtu amenunua manual ya TV akidhani amenunua TV kwa bei rahisi kiasi cha kushangaza, lakini kwa vile alisikia eBay rahisi basi akavamia, siku zimepita kaletewa manual ya TV kurudi kusoma maelezo yameweka wazi kabis kinachouzwa ni manual lakini picha iliyotumika ni ya TV. Hata hivyo alirudishiwa fedha zake na paypal kwa kuwa picha ilikuwa inafanya udanganyifu.

4. Angalia historia ya muuzaji, kuhusu muuzaji unaangalia mambo matatu:
a.) Yuko wapi ili uweze kujua itachukua muda gani kueltewa bidhaa
b.) Ameuza bidhaa ngapi kama ana 10 au 30, huyu ni wa kumuepuka kwa sababu hana uzoefu au si mfanya biashara kwa hiyo anaweza akachukua pesa kisha akafunga akaunti. Lakini kama ameuza bidhaa 900 basi unajua hili ni duka.
c) Unaangalia asilimia ya feedback, kama anachini ya 98% basi ni wa kumuepuka huenda ana matatizo.

kuna mengi mengine ya kuangalia, la cha msingi ukiwa makini unaweza kununua vitu kwa miaka bila ya kupata matatizo na ukiwa unavamia basi watakuingiza mjini.

ok. ahsante kwa maelezo mazuri. lakini kama hiyo link aliyotowa muanzisha thread laptop ya windows 8 isiyopungua laki 6 za kitanzania kwa nini inauzwa 39usd na ni free shiping wakati hata hiyo bei ya kuship tu ni zaidi ya 39usd. hebu tusaidie kwa mfano huuu specific. kuna mtego gani hapo??
 
Wakuu Millah na ub16 hivi unaweza kununua bidhaa ebay na ukasafirishiwa bidhaa yako hadi huku Bongo? maana mimi nimezoea kulipia halafu mzigo unatumwa kwa jamaa yangu mmoja ambaye yupo huko U.S.A halafu yeye ndio ananitumia mimi huo mzigo.

Depends on seller, most china based sellers will ship anywhere in the world, my first purchase nilifanya nikiwa bongo and mzigo ulifika salama and I know people who still order stuffs from ebay.

Ila if you doubt ebay cheki Tanzania Online Shopping gateway, bei zao sio nzuri sana but uhakika you can even ask them to order something for you(watakucharge though)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom