Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu wakuu Leo nimependaa kushare tatizo hili linalosumbua ili kupata solution na kufahamu kwenu nyie wenzangu inakuajee Iko hivi Kwa siku za hivii karibunii imetokea tatizo moja...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamaan kuna ujumbe unakuja kwenye computer yangu. Ikitokea nikaupgrade kulingana huu ujumbe si inaweza kuja kuharibu computer yangu? Microsoft recommends upgrading to windows 10 It's fast...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada wa kufafanuliwa heading hiyo..Kompyuta ni wewe na wewe ni kompyuta (fafanua)
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I am just curious leo, najua bongo ni sehemu ambayo kusikia neno tech startups ni mara moja moja sana tena kila baada ya miaka kadhaa which is shameful sababu bado kuna matatizo mengi Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wazima humu? Nilikua na simu aina ya tecno, nimeitumia baada ya muda ikaanza kuleta manotification mengi mara battery sijui imekuaje ni update niki click update inanipeleka kwenye play store ni...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
msaada pliz tatzo nikidownelod video au photo zinagoma kucheza kwenye garrery na photo hazionekani baada ya mda mfup
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni tecno p5 nikiiwasha inaonesha ujumbe "phone memory full. Application has been stopped.please free the space" kabla haujafanya chochote inajizima yenyewe nisaidien wakuu shida ni nn
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello Dear JF User, My Name is Wilson Jacob, I start this topic so that we can share things that will help to bring high technology in Africa. I have a Project of Building a Social network which...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
msaada simu inachukua muda mrefu kuwaka hadi dakika 15
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hivi ni mimi tu speed ya wajanja knight ikifika saa 6 usiku voda wanapunguza hadi 50kbps max.hii siku ya nne. Nahama.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Pata website kwa bei poa kuanzia 280,000Tsh na kuendelea kutegemea na aina ya website Contact: 0653573232 Email: info@gobongotech.com Website:GO BONGO TECH Karibu sana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf nimenunua hii gari. Sijui ushamba au vipi sioni kabisa sehemu ya kuweka sehemu ya kuweza kuweka usb plugin. Niliwahi kuwa na forester huko nyuma ilikuwa iko wazi tu. Naomba msaada wenu.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajamvi? Naomba msaada simu yangu tajwa hapo juu imekuwa na tatizo la kujiwasha programu ya headset nashindwa kuelewa sijui ni tatizo gani? Nimejaribu kuwapelekea baadhi ya...
0 Reactions
4 Replies
970 Views
Hello JF Tech Mi huwa Natumia Mara Nyingi Uhuru Internet bila Kikomo.. But After Some MBs huwa Speed Inashuka. ingaw Siyo sana But Inashuka Tofauti na Mwanzo.. Sasa Nataka Kununua Kifurushi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hili ni jambo ambalo limekuwa likiumiza vichwa watu weng sana. kuna wadu kadhaa wameweza kuelezea hilo kwenye decoder ya AZAM lakini upande wa DSTV mmewasahu kabisa wadau. jinsi gani wanaweza pata...
0 Reactions
15 Replies
17K Views
Msaada jamani naomba kupata application ya kubadili song mid kwenda kwenye mp3. Kuna moja nimepata but ni trial version kwa anayejua anisaidie. Asanteni.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba msaada, nataka kununua power bank kesho, ila naskia feki ni nyingi kuliko genuine. Mi siwezi kutambua genuine na feki, je nitafahamuje jamani kuwa hii ndio genuine at least kwa kutumia...
0 Reactions
2 Replies
858 Views
http://allafrica.com/stories/201511300746.html Amesema kampuni za simu zitaendelea kuungana na kununuana, hii ni baada ya Tigo kununua Zantel na Vodacom kuinunua Shared Networks Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Naomba msaada kwa wale wataalamu wetu humu.Pc yangu ina tatizo la ku~boot inawaka na kuzima bila kufungua window. CC. CHIEF MKWAWA
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Habari wakuu, simu yangu inatatizo la inastack halafu screen inakua na mwanga wakijani, baada ya mda inakua black mpaka betri iishe ndo inawaka tena kawaida...tatizo itakua nn msaada tafadhali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…