Wadau habari za jioni, ninaomba kwa yeyote anayemfahamu Fundi Umeme wa Magari Mzuri na Mwaminifu aliyeko Dar aniwekee hapa number yake.
Gari yangu ina shida ya umeme baada ya kuipeleka kwa Wachina...
Kuna wimbi kubwa la ku hack account za Instagram kwa watu wenye followers wengi. (Hadi celebrities wakti mwingine) je nini husababisha. Na nini kifanyike kuepusha wimbi hili linaloshamiri kwa...
TANGAZO
Katibu mkuu kiongozi, OMBENI SEFUE
Kushirikiana na Mamlaka ya mawasiliano TCRA
IMETOA TAMKO RASMI
Ifikapo Mwezi Juni 2016. Simu zote za mkononi zisizo na uhalali (BANDIA/FAKE)...
......loading
Mtoa taarifa.anasema.chanzo.cha.ajali.n.lori bovu.kuwa.njian.na.dereva wa basi wakiwa analikwepa.akahama njia.majeruhi wachache akuna taarifa za kifo so far
Usiniulize...
Naomba msaada kuhusu tatizo la huawei 300, kwa muda sasa simu hii nimeshindwa kuitumia maana ina-pop up notifications za "unfortunately, the process com.google.process.gapps has stopped"...
Naomba msaada jamani kwa anaejua, nilimwazima MTU SIMU YANGU akaweka laini yake amenirudishia naweka laini YANGU inaandika enter privacy password namuuliza hata yeye anasema hajui! Naomba msaada.
km unataka adsense au kupewa mbinu za kuongeza kipato kupitia online kama ww tayar una adsense 'jinsi ya kuweka ads juu ya makala au post juc contact me me 0675968762 or 0765321403
Wakuu nadhani kuna wenzangu humu mnatumia zile night packs hasa kwa downloading ya vitu vikubwa kutokana na gharama za internet kuwa juu na bundles kuwa ndogo.
Katika pita pita zangu humu kwa...
kwenye hii simu yangu napata shida kuhusu internet. nikitaka kutumia internet kwa line ya voda inakubali. nikiswitch kwenda halotel airtel inagoma kabisa. simu inatumia line mbili na kuna wakati...
Ndugu mteja, Serikali imeagiza kampuni za simu kuzima simu zote ambazo sio halisi ifikapo 16.06.2016. Hakikisha umehakiki kama kama simu yako ni halisi
Najua kuna watalaamu wengi humu...shida ya simu yangu ni kila nkiwasha data siwezi itumia inaganda tu na inakua yamoto kupita kiasi..tatizo lingine nikiizima nkiwasha inatumia dk 15 mpaka kuwaka...
Naomba kueleweshwa: je, nawezaje kufungua video za youtube bila kuambiwa SERVER PROBLEM au sijui problem in server? Kuhusu ku-convert video ya youtube kuwa mp3, kuna app inahusika? Vile vile kwa...
naomba kueleweshwa je nawezaje kufungua video za youtube bila kuambiwa SERVER PROBLEM au sijui problem in server?
kuhusu ku-convert videeo ya youtube kuwa mp3 kuna app inahusika?
vile vile kwa...