Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kwa wanaocheza game ya mpira, mimi naikubali zaidi PES hasa uwepo wa UEFA champions league, bado FIFA haikuti PES, kwa mtazamo wangu. Wewe unaikubali ipi? === Maoni ya wadau: Mimi still ni fan...
7 Reactions
185 Replies
23K Views
Unaponunua kompyuta, kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha unapata kifaa kinachokidhi mahitaji yako. Hapa ni mambo machache ya msingi: 1. Matumizi yako: Fahamu unataka kutumia kompyuta...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu naomba mawazo yenu. Nipo Huku Kijijini na umeme wetu hasa ni solar power. Kwenye vifaa vyangu Nina Inverter Ila tatizo la hii inverter ni kwba inatumia sana hali inayopelekea umeme kuishe...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa! Nimekutana na simu aina ya Docomo s20 5g, baada ya kuulizauliza kwa baadhi ya wadau nimeambiwa hizi simu za Docomo zinatengenezwa na kampuni ambayo hapo awali ilikuwa ikifanya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Naona wauzaji wengi FB bei zao around 250k je hizi ni zenyewe au copy nisije pigwa?
0 Reactions
7 Replies
548 Views
Habari Tanzania project yetu ya NotiAi imependekezwa kwenye mashindano ya Google GeminiAPI -NotiAi ni AI inamuwezesha hata mtu asokua na internet kuAccess AI kwa SMS tu Tupige kura Tuzo ije...
1 Reactions
0 Replies
356 Views
Hivi unaweza kufanyaje iliuweze kuwa local internet ya kutengeneza mwenyewe locally? Ni vitu gani muhimu vinahitajika ili kuweza kuunda just local internet? Wataalamu nisaidieni katika hili Sent...
6 Reactions
63 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu, kuna desktop niniatumia tatizo haitaki ku print nimebadili windows na os hadi linux, nimeweka kila driver ila inagoma ku print printa yoyote ile. Printer mpaka inatambuliwa na...
1 Reactions
5 Replies
544 Views
Ikiwa akaunti yako ya Facebook imedukuliwa, unapaswa kuchukua hatua haraka ili kujaribu kuirejesha. Hapa kuna hatua za kufuata: 1. Badilisha nenosiri mara moja: - Ikiwa bado unaweza kuingia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nashindwa download application baadhi baada ya mim kusahau password ya app store nifanyaje ili niweze kupata password
0 Reactions
0 Replies
489 Views
Teknolojia imefikia kwenye hatua ambayo binadamu anaweza kuunganishwa na teknolojia ya Google na hivyo akaweza kujibu maswali mbalimbali atakayoulizwa kwa usahihi.
1 Reactions
4 Replies
380 Views
Nina email yangu na password ila namba nilofungulia sina, sasa nahitaji kurudisha account yangu ya google nafanyaje maana nikijaribu naambiwa nijaze code. Kwa anayefahamu namna nyingine ya...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Samahan wakuu Kwa bahati mbaya Sana Jana nilikua nanunua vocha ya tigo Tsh 4000 kwenye crdb SIM bank sasa nikakosea nikajikiuta nmenunua vocha ya elfu 40000? Jeh naweza kubadilishiwa iwe tigo...
3 Reactions
4 Replies
925 Views
Kupambana na wizi wa akaunti za mitandao ya kijamii kunahitaji tahadhari na mbinu za kiusalama. Hapa kuna njia za kuimarisha usalama wa akaunti zako: 1. Tumia nywila imara: Hakikisha nywila yako...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Nahitaji Coder anayeweza kucoding au kumodify CMS vizuri nataka tufanye kazi ya kutengeneza Forum. Ukiwa interested nicheck
4 Reactions
6 Replies
355 Views
Habari JF members, Naomba kuuliza simu gani nzuri zaidi kwa picha nataka ninunue matumizi ni kupiga picha za biashara, budget 150,000 mpaka 250,000. I prefer used phones. Internal iwe kuanzia 64+.
6 Reactions
65 Replies
3K Views
Habari, Naitaji mtaalamu anayejua kutengeneza website na aka unda mfumo wa hosting reseller..... Nitext WhatsApp 0678650509
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Wakuu habarini. Kuna jokofu nimeona mahali limeandikwa 123Kwh/year kama energy consumption. Sasa naomba kuelewa inamaanisha nini hasa.? Nimejaribu kufuatilia mtandaoni ila bado elewa vizuri...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Nakuja kwenu wana jukwaa ili kunishauri camera nzuri kwa ajili ya live streaming kwa bajeti isiyozidi milioni mbili, ambapo nitakuwa nafanya live streaming kwa zaidi ya masaa matatu Chief-Mkwawa...
1 Reactions
4 Replies
679 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…