Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 634
- 1,535
Wakubwa kwa aliewahi kutumia hii app ya Spotify kusikilizia muziki vipi nyimbo za Tanzania zipo humo au ni za mbele tu maana nimetoka kuifatilia mbali app ya boomplay kwa kuchoshwa na Ads kila baada ya second kadhaa.
Kilicho nifanye niifute imenikera sana leo nimekutana na mtu tunafahamia sasa nataka niweke pause wimbo ili nimsalimie huku tunapishana nimeweka finger kuunlock screen ili nistopishe muziki mara ghafla linatokea tangazo la sportpesa tena lina sauti ya juu kuliko muziki niliokua na sikiliza na tangazo lenyewe huwezi kuskip mpaka limalize aisee imenikera sana nikaamua kuvua vifaa vya masikioni