Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Tumezoea katika maisha yetu tukiangalia Tv basi huduma ile tunaipata kupitia madishi, cable au antenna. siku zinavyosogea mbele na technology ndivyo inavyokuwa na ndio jinsi madish na antenna...
117 Reactions
2K Replies
400K Views
𝗔𝗣𝗣 π—¬π—˜π—‘π—¬π—˜ π—žπ—¨π—žπ—¨π—§π—”π—•π—œπ—Ÿπ—œπ—” π—žπ—œπ—™π—’ π—–π—›π—”π—žπ—’ Duniani Kuna mambo aisee😳, wazungu bhana okay kwa kuwa kazi yangu ni kuwajuza nimepita mahali nikakutana na hii app πŸ₯±.... Kuna app Moja ambayo imeundwa...
0 Reactions
1 Replies
286 Views
1. Namba ya Serial na IMEI - Hatua za Kufanya: 1. Nenda kwenye Settings > General > About. 2. Tafuta Serial Number na IMEI. 3. Tembelea tovuti rasmi ya Apple...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari nilizo zipata muda huu ni kwamba. Simu hizi zitakuwa zinakamata internet moja kwa moja kwenye satellite. Hii ni habari njema sana wanasayansi ni wakombozi wa hii dunia. ========= SpaceX...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
1. Dell-Marekani 2. Compaq-Marekani 3. Apple-Marekani 4. IBM-Marekani 5. HP-Marekani 6. Acer-Taiwan 7. Asus-Taiwan 8. Toshiba-Japan 9. Lenovo-China 10. Packard Bell-Netherlands 11. Samsung-Korea...
5 Reactions
56 Replies
16K Views
Tusanue apps zipi unatumia kwenye simu, Android OS au iOS Ambazo zinakurahishia kwenye nyanja tofauti. Tuambie na namna ya kuzipata. Mfano: Hii unaweza kuipata kwa kuidownload kutumia browser...
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu habari za majukumu, ni matumaini yangu kuwa wote mu wazima wa afya. Lengo la huu uzi ni kukusanya mawazo ya mobile app ya kutengeneza. Nilikuwa naomba Kwa aliye na wazo au anaona changamoto...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani nimeipenda hii whatsapp kuna mtu nilimuona anayo nikashindwa kumuuliza kapata vipi kama kuna mtu amewahii install hii whatsapp Gold version naomba atuwekee Link hapaa yuishushe kirahisi...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Teknolojia inakwenda Kasi sana hivi unajua unaweza chaji simu yako kwa kutumia Kadi πŸ˜‚ !!! Najua una shangaa sana lakini ndo uwalisia. Kuna kitu kinaitwa chaji Kadi (chargeCard) ni chaji...
2 Reactions
6 Replies
961 Views
wakuu kwema nataka ninunue simu hizi used sasa naomba kujua maana ya maneno haya nayokuw nasikia . FULL DISPLAY SMALL DISPLAY
1 Reactions
4 Replies
790 Views
Unlimited internet ni ni internet unatumia bila kikomo, inapimwa kwa speed sio gb, speed yangu naweza kudownload file la GB 1 ndani ya dakika 6.
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Hello JF members! Kutokana na kuwa saivi soko kuu la ajira lipo kwenye teknolojia Basi ni vizuri vijana tukachangamkia fursa ambapo sehemu pekee na yenye uhakika ambayo mtu anaweza kujiajiri na...
5 Reactions
58 Replies
6K Views
Wanajamvi salaams Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba kujua ubora na udhaifu wa TV za Hisense ninawaza nikanunue. Nawakaribisha pia kwa ushauri wa TV bora Natanguliza shukrani
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Bitsoup Bitsoup is a growing favorite amongst P2P downloaders. As the trend towards private torrent sharing continues, you will need to signup and join as a member to participate in the Bitsoup...
1 Reactions
1K Replies
473K Views
Jinsi ya kufungua akaunti ya Youtube, 1. Anza kwa Jisajili kwenye akaunti ya Google (Kama hauna) Ili kuweza kuangalia maudhui ya video kwenye YouTube, kutenegeneza akaunti ya YouTube, kushare...
8 Reactions
42 Replies
7K Views
Habari, natafuta sehemu hapa Dar wanapofanya Ditect-to-Garment Printing. Nina designs zangu natamani sana ningeziprint kwenye tees (merch). Natanguliza shukrani.
1 Reactions
13 Replies
950 Views
I have viewed a certain article from a certain website in Tanzania , and I was very interested with the piece of content , unfortunately the piece of content was very short. And I would like to...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Wakuu humu ndani kwema. Naomba kuuliza kwa yeyote ambaye anafahamu simu nzuri ya kiswaswadu yenye uwezo wa kukaa laini tatu.
2 Reactions
16 Replies
6K Views
Jinsi TikTok Inavyolipa na Kuajiri Watu TikTok imekuwa jukwaa maarufu duniani kote, sio tu kwa burudani bali pia kama chanzo cha mapato kwa watu wengi. Kwa vijana na wakubwa, TikTok inatoa fursa...
1 Reactions
4 Replies
9K Views
Natafuta mahali wanapo print DTG
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…