Ninawezaje kuigeuza unlimited internet iniingizie kipato ?

ipo sehemu, tupo huru kuitumia tutakavyo
Hapo ni rahisi tu km ni maeneo ya nyumbani.
Waambie majirani unaunganisha internet kwa njia ya WIFI kwa mwezi ni 10k, 15k, au 20k
Weka bei ndogo au unaweza kuwaambia kwa wiki 5,000 kulingana na vipato vya watu kwahiyo utaamua.
Zingatia hasa vipato vya watu, unaweza kuweka buku masaa 5 si unlimited.
 
Wazo tayari naenda kupiga hela😂😂😂
 
Wazo tayari naenda kupiga hela😂😂😂
Zingatia bei ya mitandao ya simu ya data
  • 1GB ni Tsh 2100 siku 7
  • 1.4 GB ni Tsh 3000 siku 14
  • 490mb ni Tsh 1000 siku 7
  • 246mb ni Tsh 500 masaa 24
Sasa ukicheza vizuri kama Pele, unavuna hela. Kwasababu bando la 1GB ukiwa hata na device ya 3G na nimtumiaji wa data, halichukui hata masaa 2 limeisha.
 
Jumatatu nakamilisha mchakato na nafunga point to point mpaka sasa nimepata wateja 20
 
Back
Top Bottom