Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakati na edit na ku update post sipati nafasi ya ku edit heading. Plz anaejua naomba anifundishe. Pia nielekezeni namna ya kuweka signature na emoji.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba mnambie namna ya ku-unroot cm maana nliifanyia rooting then nkaiformat but had nw rooting ipo!!! Naomben msaada namna ya kuitoa
0 Reactions
25 Replies
8K Views
habar wa na jf,kuna iphone 4s inachaj ikiwa off tuu ikiwaka haijichaj tena ..chaj pot n nzma battery ni nzima nashindwa elewe nn tatzo mwenye kujua ili naomba msaada
0 Reactions
0 Replies
423 Views
naombeni msaada nilijisahau nikafuta sms ya muhimu sasa je naweza pata tena sms hiyo na software gani or app gani??
0 Reactions
3 Replies
854 Views
habari za jioni wanajukwaa, Ni miezi miwili sasa imepita toka nilipoibiwa simu zangu kwa wezi kuvunja dirisha na kuchukua simu mbili pamoja na TV, pamoja na kupeleka IMEI number polisi, bado...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau na wataalamu wa masuala ya computer, namiliki Laptop aina ya HP. Nilinunua ikiwa na Windows 8.1 na baada ya kupata notification ya free upgrade nikaamua kuhamia windows 10 Home. Tatizo...
0 Reactions
4 Replies
845 Views
Habari wataalamu.... ebana nina shida kuhusu application ya computer inayomuwezesha mtu kuzama tv online,mfano katika smartphone kuna app nyingi mfano 'UKtvnow' ni moja ya app inayomuwezesha mtu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za weekend wanajamvi, mi ni network administrator katika taasisi ya serikali,napata changamoto ya network& bandwidth monitoring, nimejaribu PRTG na Nagios ambazo ni free ila changamoto ni...
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Habarini wandugu,,naomba msaada wa kuweza kuinstall google app store kwenye simu ambayo manufacture yake yaliKuwa kwa matumizi ya nchi ya China, ,,aina ya simu ni Samsung A7
0 Reactions
0 Replies
497 Views
Baada ya misukosuko ya Toleo lao jipya la simu yake ya Galaxy Note7, kampuni ya Samsung inajiandaa kutoa simu mpya ya Galaxy s8 mapema mwakani kati ya January au february 2017. Tetesi zinasema...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu kama ilivyoada, kila simu, desktop, ipad/tablet, mini laptop, laptop na vifaa vingine vvyote vina IP address (Internet Protocal address). Hii inamanisha wakati tunatumia internet basi...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Nahtaj mnisaidie kunielekeza jinsi ya ku-play music kwa Bluetooth kwny gari. Aina ya gari ni Toyota Crown Athlete. Napenda kuwasilisha
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ram 8gb. Core i7 (atleast i5) 64bits Video card Nvidia HDD kuanzia 300 Ofa kuanzia 450-500 0679029498 DSM
0 Reactions
0 Replies
532 Views
jaman kuna mtaalamu wa kutumia whatsapp plus yangu ina goma msaada
0 Reactions
1 Replies
630 Views
Nauza adsense account kwa blog na website ...ukihitaji nicheck kwa namba 0768 900 989
0 Reactions
4 Replies
852 Views
Natumia dish ya cm 90 na nipo dar,naombeni msaada wanajamvi
0 Reactions
6 Replies
3K Views
KARIBUNI..........NITAENDESHA VIDEO TUTORIALS ZA MAMBO YA IT. KWA KUANZA DOWNLOAD HIZI, NAMNA YA KUTENGENEZA BLOG YA BIASHARA, KUSAJIRI DOMAIN NAME. NA KUINGIA ADD SENCE.....
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye kuelewa jinsi ya kuunganisha simu. Text msg inayokwenda kwako inifike na mm msaada wana jf.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu embu nitoeni humu gizani kuhusu haya mambo. Official whatsapp inaingiliana na hizo whatsapp nazoziita feki mimi yani (Gb whatsapp na whatsapp plus). Imekuaje hili jambo likawezeshwa? si...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…