Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hongera zenu Gwambina kwa kuonyesha mchezo laukama nyie ni wageni kwenye league ukilinganisha na wale jamaa wa kuanua kinu kila wakipata mpira. Keep it up na mjitahidi mbakie kwenye league na...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi karibuni TFF wametiliana saini na mkandarasi wa kichina kujenga vituo vya michezo kule kigamboni na Tanga. Naomba wataalamu wa michezo mnisaidie nini maana ya hivi vituo? Je ni sawa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Klabu ya simba Leo itakuwa uwanjani kumenyana na Gwambina timu ambayo mpaka sasa haijaonesha makali yoyote pamoja maneno ya zahera kuwa mengi, hii mechi itakuwa ngumu kidogo kwasababu gwambina...
8 Reactions
121 Replies
11K Views
Habari ndugu zangu, Leo kama ilivokawaida mzunguko wa nne wa ligi unaendelea kurindima katika viwanja tofauti, kubwa zaidi mechi yenye attention kubwa ni kati ya simba na Gwambina. Mimi kama...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Hebu imagine timu inavaa jezi imeandikwa namba 3 kifuani, huo kama sio uchuro ni nini? Ni kujitabiria vipigo vya kufungwa magoli matatu na kuendelea katika mechi zake!
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Sometimes wabongo sisi ni wapumbavu sana kwenye kuhoji maslahi. Kigwangalla ana hoja za msingi sana, Mo anaishije na timu anayoimiliki kwa 49% bila kulipa cost za hisa? Yaani bilion 20 hajalipa...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Kumekuwa na tetesi nyingi mitandaoni juu ya hatma ya Mshambuliaji na Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta "Popa" ambaye anaweza akawekwa sokoni na kuuzwa muda wowote kuanzia sasa. Hayo yamezuka...
11 Reactions
33 Replies
5K Views
Wadau Wa Basketball Tanzania, Kwa Nini Basketball Ya Tanzania Haipigi Hatua? Kwa Nini Migogoro Inaendelea Kila Kukicha? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Unless Samata awe umri ndo tatizo Lakini kushindwa au kuonekana kushindwa kucheza EPL imewatokea wachezaji wengi sana Wakiwemo hawa wanaotamba sasa EPL ..mo Salah na KDB.. Mchezaji akienda UK...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Kumbe Suarez alipokuwa anataka kwenda Atletico Madrid. Barca wakamwambia na hiyo pia haturuhusu wachezaji wetu kwenda.. Suarez akawaambia mbona haipo Kwenye list ya klabu marufuku kuhamia kutoka...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi sijawahi kuona pasi assist kama ile hapa duniani. Halafu Simba hata hawalingi, wanachukulia kawaida tu. Lile goli lina kila sifa ya kuingizwa katika magoli mazuri kidunia
29 Reactions
150 Replies
11K Views
Binafsi naona kuhama A.villa kwenda Fenerbahçe kwa Mbwana Samatta ni hatua moja mbele japo walio wengi wanaona ame anguka. Ukiziangalia hizi tumu mbili kwa historia yao ya huko nyuma A.Villa ni...
11 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar zenu wana jamvi, Leo ningependa tumzungumzie kidogo huyu mwamba wa Lusaka (Chama) itoshe tu kusema kwamba huyu jamaa ni mwongo na mlaghai pia. Kadri siku zinavyozidi kwenda...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Vile vifurushi vyenu vya maelf bado bei ileile? Au mmeshusha hadi Tsh. 5000? Kwakweli kipindi hiki cha Covid-19 , Dstv mmeisoma namba nanyi kivyenu, maana siku hizi king'amuzi chenu ni sawa tu na...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Mwaka mmoja baada ya kushusha bei ya vifurushi vyake, kampuni ya Multichoice kupitia Digital Setilitte Television (Dstv) imetangaza bei mpya ya vifurushi vyake. Bei hizo zitaanza rasmi Septemba...
7 Reactions
193 Replies
24K Views
Wakuu Salaam; Leo inapigwa mechi kati ya Fc Bayern ambaye ni bingwa wa UEFA na Sevilla Fc ambaye ni bingwa Uefa Europa league katika kutafuta bingwa wa Uefa Super Cup. Mechi hii inapigwa katika...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Tunapozungumzia Timu yenye mashabiki kipenzi cha mioyo ya Watanzania yenye washabiki wengi Afrika Mashariki wapatao takribani Milioni 15 Tanzania na Afrika Mashariki kwa Ujumla, Timu Bingwa wa...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mtangazaji wa Kituo Cha Habari Cha (BBC) Swahili, Salim Kikeke, mshambuliaji wa Aston Villa, Mbwana Samatta yupo nchini Uturuki kwa ajili ya kukamilisha...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Redirect
Fenerbahce have signed Aston Villa striker Mbwana Ally Samatta
0 Reactions
Replies
Views
KUHUSU SOKA LETU NCHINI TANZANIA, TUJADILI KUOKOA MPIRA WA MIGUU NCHINI(TATHIMINI). Bandugu naitwa Don Nalimison Mwanamziki na mdau wa soka Duniani Mimi sio kocha Bali kocha ambaye ni shabiki...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom