The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,899
Unless Samata awe umri ndo tatizo
Lakini kushindwa au kuonekana kushindwa kucheza EPL imewatokea wachezaji wengi sana
Wakiwemo hawa wanaotamba sasa EPL ..mo Salah na KDB..
Mchezaji akienda UK Kwanza wanakumbana na Baridi Kali zaidi ..kuliko nchi zingine za Ulaya..kama Spain n.k..
Pili ligi ni ngumu Kwa sababu ya mpira wa nguvu..
Tatu mbinu za kocha na aina ya timu inaweza isiwe rafiki ..
Achilia mbali Kodi kubwa UK
Nusu ya mshahara unaacha hapo..
Na mengine mengi ambayo wanakumbana nayo kama ubaguzi na kadhalika...na mashabiki wasio na subira.
Samata anaweza kurudi EPL akatamba kama walivyo rudi kina Mo Salah na KDB.
...