UTANGULIZI
AFYA NI NINI?
Afya ni hali ya ustawi wa kimwili, kihisia, na kijamii ya mtu binafsi au jamii nzima. Ni zaidi ya kutokuwepo kwa ugonjwa; ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, na...
kwa mkono wa: Mikael Mtanzania.
Yeyote asiyekubali kubadilika basi mabadiliko yatamuacha nyuma.
Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi hasa yanapotokea majanga au unapotokea moto umewaka sehemu...
TUWAANDAE WATANZANIA KUTOITEGEMEA TANESCO
UTANGULIZI
Nchi yetu imepitia katika matatizo ya mara kwa mara ya ukatikaji wa umeme na mgao wa umeme kwa nchi nzima takribani miaka 30...
No ya watoto wa kiume Tanzania inazidi kupunguza ukiondoa vifo ila hata uzaliwaji wa watoto wa kiume umekuwa mdogo sana na hii kupeleka hata taifa siku za usoni kukosa nguvu kazi ya taifa lenye...
M. M. Mwanakijiji
UANZISHAJI WA TRENI YA KITABIBU IFIKAPO 2027
Introduction:
Tanzania, like many developing countries, faces significant challenges in providing adequate healthcare services to...
ELIMU KIDIGITALI
Elimu huweza kumsaidia mtoto kuweza kujitambua na kutambua mambo mengi yanayomzunguka, pia huweza kumsaidia mwanadamu kuishi kwa kukabilia na mazingira yake.
Elimu kidigitali ni...
Elimu za shule ya msingi (masomo) ni mzigo mkubwa sana hasa kwa watoto ambao hawajui maisha yao ya baadaye yatakuja kuwa upande upi, labda huenda mtoto akawa daktari, rubani, mcheza soka au...
Uwekezaji Katika Teknolojia na TEHAMA: Njia ya Kuijenga Tanzania Bora
Teknolojia na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) zimekuwa nyenzo muhimu katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na...
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi kiasi cha kuweza kuihudumia dunia katika mambo mbalimbali kama chakula, sekta ya madini na hata mavazi endapo zitatumika vema. Tangu kipindi cha uongozi wa...
Mi na ishauri serikal hasa kwenye sekta ya elimu maana ndio chimbuko la kila wadhifa elimu ya sekondari iwekwe mafunzo ya udereva ili pindi mtu anapo maliza kidato cha nne anakuwa tayari anayo...
KUWEKEZA KATIKA UVUNAJI WA POLENI ZA NYUKI KWA AJILI YA MATIBABU YA FIGO
Poleni ni seli za uzazi za mimea. Nyuki, wadudu wengine, upepo, na maji hupamba mimea kwa kuhamisha poleni kutoka kwenye...
UTANGULIZI
Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazoendelea barani Afrika. Ingawa changamoto zipo, tunaamini kuwa tuna fursa kubwa ya kujenga mustakabali mzuri kwa taifa letu. Chapisho la Gupta, 2020...
Mfumo wa Elimu tulionao hapa Afrika hatukuutengeneza sisi wenyewe bali maadui zetu, hivyo kamwe usitegemee adui yako akupe elimu nzuri. Akupe elimu nzuri ili umpindue? Wazungu walipokuja kwa mara...
Habari wadau,
Kulingana na taratibu, sheria na kanuni mbalimbali za nchi hii nafasi za mawaziri huteuliwa na mheshimiwa raisi.
Lakini siku ya leo napenda kutoa maoni yangu juu ya nafasi tano za...
Ninaguswa sana na jinsi ya elimu yetu Tanzania, vitu tunavyofundishwa darasani sio vitu unavyokutana navyo kazini. Kuna umuhimu wa kuboresha ufundishaji wa elimu ya chuo kikuu.
Ninaamini elimu...
Utangulizi
Elimu ni nyenzo pekee ya kujenga ujuzi, maarifa, uwezo wa kupambanua mambo, udadisi na kujiamini ambako huchochea mapinduzi ya fikra, hatimaye maendeleo ya jamii husika.
Changamoto ya...
Nyumba za ibada kwa maana ya makanisa na misikiti ni sehemu ambazo waumini wa dini kuu mbili yaani wakristo na waislamu hukutana katika siku zao maalumu kwa ajili ya kufanya ibada na mikusanyiko...
TANZANIA TUITAKAYO NA MFUMO WA MALEZI KATIKA LISHE
Mimi ni mwanachama wa Jamii Forums, Jina langu ni mchechemuzi.
Ushahidi wa tafiti za kisayansi umeonyesha kwamba msingi wa Taifa lolote lile...
Katika maksha yetu ya kitanzania tunakabiliwa na changamlto kubwa sana ya ukuwaji wa kiuchumi. Tatizo ambalo linaonekana ni la kutithi Kwa vizazi na vizazi . Kwa Tanzania tumekua tuki Ami I kama...
Kwa takriban mwaka mmoja sasa nchi nyingi za Afrika zimeendelea kukabiliwa na upungufu wa fedha za kigeni, hasa dola, fedha zinazotumika katika uagizaji wa bidhaa mbalimbali.
Sababu kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.